Tunga Sentensi ikianza na maneno "Tafuta Hela"

Nominee

JF-Expert Member
Sep 5, 2017
459
1,240
Haya wazee wa chit-chat,mi naanza.

1)Tafuta hela, hakunaga mke wa mtu.

2)Tafuta hela, bodaboda si usafiri official.

3)Tafuta hela, hakuna kitu kinachoitwa wikend (week-end)

4)Tafuta hela, mboga ya mchana haibakizwi hadi jioni.

5)Tafuta hela, kanisa halikatai kuja kukuzika.

6)Tafuta hela, Dar hakuna joto kali.

7)Tafuta hela, hakuna ugumu wa kukutana na viongozi wa nchi.

8)Tafuta hela, mitandao ya simu haibanii vifurushi.

Ongezea za kwako!!!
 
Back
Top Bottom