CHIT-CHAT BACHELORS (C.C.B) Jiandikishe mapema

CHIT-CHAT BACHELORS (C.C.B) Jiandikishe mapema

oky nashukuru kwa kupata namba niipendayo ila sasa fomu nitapataje na wapi tuje tujiandikishe na hiyo michango ya chama utanipa lini au wapi nikupate ili niipate hiyo michango? Donn

nitakupa appointment ya kuja home...nina kaofisi kangu pale kanaendesha mambo yotee
 
Last edited by a moderator:
mhm! makubwa kuja home tena? sio ofisini jamani basi hiyo sio kitu chema Donn maana inanishangaza hivi hujui kuwa mie ni mke wa mtu wewe? hebu rekebisha lile neno la mwisho kidogo.
 
mi ofisi yangu ipo pale home... Inaendesha kampuni nzima ya IloveTZ.Com wala usihofu mke wa mtu... Mimi mutu safi bana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom