CHIT-CHAT BACHELORS (C.C.B) Jiandikishe mapema

CHIT-CHAT BACHELORS (C.C.B) Jiandikishe mapema

oky nashukuru kwa kupata namba niipendayo ila sasa fomu nitapataje na wapi tuje tujiandikishe na hiyo michango ya chama utanipa lini au wapi nikupate ili niipate hiyo michango? Donn
 
Last edited by a moderator:
oky nashukuru kwa kupata namba niipendayo ila sasa fomu nitapataje na wapi tuje tujiandikishe na hiyo michango ya chama utanipa lini au wapi nikupate ili niipate hiyo michango? Donn

Napenda watu smart kama wewe, Donn kaniachia maagizo, tuonane pale YENU BAR ubungo, uje na mchango kabisa, form tutajazia nyumba ya wageni nilipofikia, sio mbali kutoka pale. Looking foward to seeing you there
 
Last edited by a moderator:
Afadhali umetukumbuka,manake nimetongoza weeee...naona naambulia vya mbavu!!bora nijiunge kwenye hiki chama!!fomu sh. ngapi??
 
Back
Top Bottom