Karibu C.C.B Lakini,
Kiumbe...!!!! 😛eace:
hueleweki wewe, am too gud to share
Kwani sieleweki nini? Mie, nilikuambia tupeleka walaka au sikukuambia?
ni viumbe coz anazungukwa na kusapotiwa na wengi including u
umeamka na nani, mguu nje mguu ndani nani atayaweza
Sijaamka na mtu mbona !
tangaza basi hiyo ndoa na ijulikane married mara CCB, si useme basi maried bt Available
Nimekuelewa ila si unajua mwenyekiti hayupo. Kwaiyo barua iende kwa nani sasa? C.C.B wana nihitaji ila mie siwataki
Nimekuelewa ila si unajua mwenyekiti hayupo. Kwaiyo barua iende kwa nani sasa? C.C.B wana nihitaji ila mie siwataki
kwa hiyo kutokuwepo kwa mwenyekiti ndo kisingizio cha kua huku na huku c ndio
C.C.B Wanakuhitaji? Kijana...!!! Hata usajili wako haujaingizwa mtandaoni... Hutambuliki kimataifa.. Hivi hata reg# unayo?
C.C.B Wanakuhitaji? Kijana...!!! Hata usajili wako haujaingizwa mtandaoni... Hutambuliki kimataifa.. Hivi hata reg# unayo?
tangaza barazani , mwenyekiti akija tutaenda kubariki tu, lakini hii sintofaham mie siiwezi
sawa sawa nimekuelewa heading niandikaje