CHIT-CHAT BACHELORS (C.C.B) Jiandikishe mapema

CHIT-CHAT BACHELORS (C.C.B) Jiandikishe mapema

ni bora umwambie huyo kwani naona anatafuta kuwekwa selo kama yule aliyemnyemelea mke wa polisi akapata kipigo toka kwa polisi mchana kweupeeeeee noahism
 
Last edited by a moderator:
unanitaka nini acha kuwa na domo mtindi lakini elewa kuwa mm ni mama paroko na wewe hujatoa zaka la mwezi wa december hivyo njoo parokiani utoe fungu lako kabla hatua kali hatujazichukua za kusimamisha uongozi wa uzee wewe Donn

duh... Yamekuwa hayoo? Nitarudi na hoja kamili
 
Last edited by a moderator:
nzuri sana,
eheee! mwingine huyo keshaingia humu jamani acha nitoke mie sijui mnanitafutia nini ndo mana ulimpoteza mkeo katika function ya white party wewe Filipo
 
Last edited by a moderator:
naomba uniandikishe katika uongozi wa kuwa mtunza hazina wa hicho chama cha mabachelors. Donn
 
Last edited by a moderator:
hukuniambia labda unachunga Lindi ila kwa pale parokiani nilipo mm wewe sijakuona na unaonekana kuwa unajibatiza tu hilo jina la kichungaji Donn
 
Last edited by a moderator:
hukuniambia labda unachunga Lindi ila kwa pale parokiani nilipo mm wewe sijakuona na unaonekana kuwa unajibatiza tu hilo jina la kichungaji Donn

Njoo ukonga nitakuonesha parokia yangu... Mi wala sikudanganyi
 
Last edited by a moderator:
hapo ukonga kuna makanisa mengi sana sasa sijui niende kanisa gani nielekeza njia bhana? eti wewe kaka Filipo nimekosea hapa au nimepatia nambieeeeee

weee... Kila dakika Filipo Filipo .... Ndo wamwita kijanja eenh..... Njoo home nitakupeleka parokiani jumapili... Hapa kati kati nitakutembeza tembeza tu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom