CHIT-CHAT BACHELORS (C.C.B) Jiandikishe mapema

Donn naombeni mnipokeeni tena kwenye chama mie, maisha ya u double siyawezi bhana ni mateso na ninaomba unipe uanasheria wa chama chetu cha C.C.B
 
Last edited by a moderator:

Mh ww mbona hueleweki mbona ka unamke! Donn anavigezo kweli huyu vya C.C.B

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
huyu jamaa ni kinyonga aisee... Wala haeleweki... Asubuhi ndoa jioni talaka... Labda nimpe ulinzi tu
 
we nikikuweka hapa kwenye permanent..... Si watanitafuna?
Donn ndugu yako anataka kunipa presha anataka kuwa permanent member anamaanisha nini kweli ntakulaumu wewe kwa kumshawishi arudi huku
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom