CHIT-CHAT BACHELORS (C.C.B) Jiandikishe mapema

CHIT-CHAT BACHELORS (C.C.B) Jiandikishe mapema

Nasubiri mdada mmoja aje nimuandikishe pande hizi, nadhani unamjua stevoh
 
Last edited by a moderator:
Tena watu kama nyie ndo tunawataka sanaaa pande za C.C.B Kamata hii reg no ®C.C.B/952

952 haieleweki bana, hakuna ingine iliyokaa poa hapo unipatie Mkuu Donn!?

Ukipata japo 777 au 888 hivi sio mbaya kaka!!
 
Last edited by a moderator:
Nawachukia polisi na matendo yao yote. Jichanganye kwa mke wa polisi uone kazi. Mie, hapa shavu linauma
Haijalishi... Mi nasajili tuu.... Leo niko pouwa kabisa.... Vurugu kama kawaida... Thnx bro 4 ya prayers
 
hivi wewe una matatizo kabisa hujui kuwa mm ni mama paroko, Mungu akusamehe kwani hujui ulitendalo Donn
 
Last edited by a moderator:
unanitaka nini acha kuwa na domo mtindi lakini elewa kuwa mm ni mama paroko na wewe hujatoa zaka la mwezi wa december hivyo njoo parokiani utoe fungu lako kabla hatua kali hatujazichukua za kusimamisha uongozi wa uzee wewe Donn
 
Mambo Mama Paroko!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom