Nazidi kuperuzi macho yana ukungu wa hukooo
kuna mtu namtafuta.
niandikishemo na mie
ok... Namba yako ni ®C.C.B/5266826659925 fika ofisini kwa maongezi zaidi
Mtu hataishi kwa mkate peke yake ila kwa kila neno litokalo kinywani mwa Bwana.Alafu tule nini?
..KE..
ya kuingia au kutoka?
apo ndo unanipoteza..kwanza nakaguliwa vipi?...niko veery single..lo
sheeee we unantakia nini? Inamaana sina id?
Khaa... Yamekwisha... Mi habari za kuoa biblia siziwezi... noahism kazi kwako unayependa walokole...