Chilli
JF-Expert Member
- Jul 17, 2011
- 1,655
- 746
Wewe uliahirisha mpango wako wa ndoa!??
Amenipiga bao mkongoman!
Wewe uliahirisha mpango wako wa ndoa!??
Eeeh, tata. Sio kyabakari ni chiabhakari.
Tanesco + Low Battery = kalaptop + kamobile kuzima....
ila siulisema wataka kutoka weye?
matatizo ya maisha huanza polepole na baadae huja kuwa zaidi..
hehehe...ndio huko huko poti, nimeandika hivyo ili nusanusa wasishtukie!
foleni+kukimbia kazi = ?+uvivu
niende wap?
Khaa... Yamekwisha... Mi habari za kuoa biblia siziwezi... noahism kazi kwako unayependa walokole...
aah!..ngoja kwanza niangalie upepo wa humu ndani..
aaah.... Mimi nikimbie kazi. ... Haitatokea.... Haka kafoleni kafupi tu mbona.. Chezea G/Mboto - Posta mida ya jioni wewe
Na walioshindwa wote sehemu yao ni kwenye ziwa la moto. kwa heri na ubarikiwe sana na Bwana
Ila wataalama walio pewa uwezo na Mungu wanathibitisha Binadamu waliopo katika ndoa tulivu zenye amani umri wao wa kuishi huongezeka njoo PM nikufundishe vizuri. Ombi langu vipi mbona umekausha kama
ahahah... mie, nimedoj toka asubuhi mchana wa leo nilitakiwa niende Tanga wakati mshahara wangu haujaisha..
Ombi lako lipo kwenye kamati ya screening..kazana kuomba
duh... Acha kazi ufanye kazi
nipe taarifa za kona zote umu ndani ...uwe mwenyeji mwema alfu ndo utakua upgraded,ama?
Niache kazi anikimbie? Maana mie nime muambia apende pesa yangu asinipende mimi na siku nikiishiwa asepe.