JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
- Thread starter
- #321
Umri wangu unazidi kwenda, pia hata wadogo zangu wananishangaa brother wao. Tufanye jambo moja nalo kuweka nadhiri mbele za Mungu, atakae luka luka tu na apate kansa ya mifupa na damu kwa mpigo
Wajitia pini mchana kweupee