Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Mbona na wewe unautesa mtima wangu, yani unafurai mie nivyoteseka eeeh!
Unasemaje? sema kwa sauti mbona unanong'ona??!!!!

tutakupa usafiri wa kwenda na kurudi jukwaa la wakubwa...
sitaki ntatumia haka ka ford kangu.
Mbona na wewe unautesa mtima wangu, yani unafurai mie nivyoteseka eeeh!
Labda lotion ya kichina..uwe na moyo laini kama mlenda..Sasa Mi na wewe nani aliye na moyo mgumu... Mi moyo wangu laini kama lotion
Niandike kwa fake name natasha!!!
asijue mtu please.....
Hiki ni chama kipya kabisa kinachopokea mabachela wote JF... Tukiwa na mitazamo tofauti na kile cha Baba V ... Huku ni burudani... Yaani stress free.... Watu kama charminglady , stevoh na C6 munakaribishwa. Na wale mabachela wa longtym kama noahism na figganigga munakaribishwa kujinyakulia kujitwaalia nafasi za uongozi wa chama cha raha a.k.a CHIT CHAT BACHELORS... Uandikishaji umeanza... Wahi sasa
Labda lotion ya kichina..uwe na moyo laini kama mlenda..
Kuna mkaka anaitwa Marry Hunbig, msajilini naye
Teh teh..Mie sikujua kama nautesa mtima wako...Muulize Donn procedures nishampa tuitionMbona na wewe unautesa mtima wangu, yani unafurai mie nivyoteseka eeeh!
Kuna mkaka anaitwa Marry Hunbig, msajilini naye
Hiki ni chama kipya kabisa kinachopokea mabachela wote JF... Tukiwa na mitazamo tofauti na kile cha Baba V ... Huku ni burudani... Yaani stress free.... Watu kama charminglady , stevoh na C6 munakaribishwa. Na wale mabachela wa longtym kama noahism na figganigga munakaribishwa kujinyakulia kujitwaalia nafasi za uongozi wa chama cha raha a.k.a CHIT CHAT BACHELORS... Uandikishaji umeanza... Wahi sasa
Teh teh..Mie sikujua kama nautesa mtima wako...Muulize Donn procedures nishampa tuition