imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 46,690
- 71,078
Mkuu,asante kwa formula ya Bomu la Nyuklia.Ili kunogesha safari zaidi unaandaa mayai yako ya kuchemsha yakutosha, hotpot kubwa la makande yakisindikizwa na chupa kubwa la juice ya parachichi mixer ndizi.
Hapo safari yako itakuwa murua hasa ukiwa kwenye zile bus za luxury full Ac.