Mburia
JF-Expert Member
- Jul 15, 2022
- 2,416
- 3,591
Sasa mtu mwenye kisukari ndiyo hatakiwi kabisa kula kula hovyo njiani, bora atoke home na Chakula chake..Naona watu wengi wanamsiliba mtoa mada kwa maneno ya fedheha lakini lets be realistic. Hilo suala sio sawa. Hata kama mtu ana options za kuka sijui biakuti na soda, kuna watu kwa mfano wagonjwa wa kisukari, je na hao pia wafanyeje? Ndio tuweke utani lakini while we are at it tuliangalie hili pia maana hii ni platform kubwa. Hakuna justification ya wqo kuuza chakula 8000 na zaidi kwa kitu ambacho thamani haifiki hata 3000.
, chungwa/ndizi...
Mbona?? Hata kwenye hizo hotel zao utasikia tunasimama dakika 10 tujisaidie, na tuchukue chakula na kurudi kwenye Bus..