Chips nyama 8000 Singida Hotelini

Ili kunogesha safari zaidi unaandaa mayai yako ya kuchemsha yakutosha, hotpot kubwa la makande yakisindikizwa na chupa kubwa la juice ya parachichi mixer ndizi.
Hapo safari yako itakuwa murua hasa ukiwa kwenye zile bus za luxury full Ac.
Mkuu,asante kwa formula ya Bomu la Nyuklia.
 
Naona watu wengi wanamsiliba mtoa mada kwa maneno ya fedheha lakini lets be realistic. Hilo suala sio sawa. Hata kama mtu ana options za kuka sijui biakuti na soda, kuna watu kwa mfano wagonjwa wa kisukari, je na hao pia wafanyeje? Ndio tuweke utani lakini while we are at it tuliangalie hili pia maana hii ni platform kubwa. Hakuna justification ya wqo kuuza chakula 8000 na zaidi kwa kitu ambacho thamani haifiki hata 3000.
PIKA CHAKO NYUMBANI WE UNAJUA UNAMATATIZO ALAFU UNATAKA ULE HOTELINI WALE KUMBUKA WATEJA WAO NI WASAFIRI TU MDA WA MAGARI UKIISHA NDO HAWAUZI TENA SASA MTU AMEWEKEZA HELA NYINGI AJE AKUUZIE KAMA KWA MAMANTILIE
 
Kwaio mkuu, kwan mpaka uandike kwa herufi kubwa? Mbona makasiriko? Nkuulize, do u think its fair hyo bei wanayoweka?
 
Salam,

Nilipita hapo leo nikazama nikauliza bei ya hizo chips, kuna vifuko vya kaki vilivyokatwa nusu wamewekemo chips kidogo ba nyama finyango hazifiki 7.

Nilichoona kwa bei zile wasafiri wanapigwa sana. Utanunua tu kwa kuwa hakuna option. Hii nchi hakuna wanaodhibiti bei za vitu?
Picha tafwadhali
 
PIKA CHAKO NYUMBANI WE UNAJUA UNAMATATIZO ALAFU UNATAKA ULE HOTELINI WALE KUMBUKA WATEJA WAO NI WASAFIRI TU MDA WA MAGARI UKIISHA NDO HAWAUZI TENA SASA MTU AMEWEKEZA HELA NYINGI AJE AKUUZIE KAMA KWA MAMANTILIE
Wewe ni ndina!

Sio kila safari mtu anatokea nyumbani.

Safari zingine unatokea mkoani kikazi (mfano Musoma/Rukwa), unarudi zako Dar es Salaam.

Unatoka Musoma/Rukwa saa kumi usiku, unafika Dar 11 alfajiri au kesho yake kabisa
 
Ukisafiri Songa Ugali Wako Weka Kwenye Hotpot Basi
Kwenye Chips Za Tshs 8000/= Unapiga Ugali
Sio kila safari mtu anatokea nyumbani.

Safari zingine unatokea mkoani kikazi (mfano Musoma/Rukwa), unarudi zako Dar es Salaam.

Unatoka Musoma/Rukwa saa kumi usiku, unafika Dar 11 alfajiri au kesho yake kabisa
 
Option ipo. Ule usiku wa safari, pika misosi, jaza ma hotpot then utakula kesho yake safarini.
Sio kila safari mtu anatokea nyumbani.

Safari zingine unatokea mkoani kikazi (mfano Musoma/Rukwa), unarudi zako Dar es Salaam.

Unatoka Musoma/Rukwa saa kumi usiku, unafika Dar 11 alfajiri au kesho yake kabisa
 
kula safarini sio lazima chips na nyama kama unaona ni ghali tafuta matunda yako juice na vitafunwa vingine inategemea unapendelea nn
iwe biscuits karanga korosho crips . unasafiri kwan unafanya kaz gan inayohitji ule wakat wa safari.
 
Nikiwa nasafiri huwa naamka najipikia nguna yangu,naipiga asubuhi hiyo hiyo then huko safarini me sinunui kingine zaidi ya maji ya kunywa.
Sio kila safari mtu anatokea nyumbani.

Safari zingine unatokea mkoani kikazi (mfano Musoma/Rukwa), unarudi zako Dar es Salaam.

Unatoka Musoma/Rukwa saa kumi usiku, unafika Dar 11 alfajiri au kesho yake kabisa.
 
Yaani Dom to Mwanza lazima ule?
Sio kila safari mtu anatokea nyumbani.

Safari zingine unatokea mkoani kikazi (mfano Musoma/Rukwa), unarudi zako Dar es Salaam.

Unatoka Musoma/Rukwa saa kumi usiku, unafika Dar 11 alfajiri au kesho yake kabisa.
 
Sio kila safari mtu anatokea nyumbani.

Safari zingine unatokea mkoani kikazi (mfano Musoma), unarudi zako Dar es Salaam.

Unatoka Musoma saa kumi usiku, unafika Dar saa kumi usiku.
unanunua ugali na mboga kabla hujaenda kulala unahifadhi asubuh kabla ya safari unafinya alaf unapanda bus
 
Hapa labda mleta mada angependa/tungependa kujuwa,logic ya wao kuuza bei juu ni nini?
Maana wakati mwingine bei zao kwanza haziendani na vyakula wanavyotoa
Binafsi mimi nikiwaga safarini huwa sipendi kula kula,maana njiani napo kula vitu usivyovijuwa uwezekano ni mkubwa sana,watu washalishwa kung-fu,nyama za mbwa,paka

Ova
 
Kama vipi,pika asubuhiasubuhi,kula vizuri,oga,kapande BUS,ndani ya BUS ibaki ni kunywa maji tu na juice ukitaka.Vitu vingine solution yake ni ndogo tu,waache walioambiwa wale kulingana na urefu wa kamba zao WALE maeneo hayo.
 
Wewe ni ndina!

Sio kila safari mtu anatokea nyumbani.

Safari zingine unatokea mkoani kikazi (mfano Musoma/Rukwa), unarudi zako Dar es Salaam.

Unatoka Musoma/Rukwa saa kumi usiku, unafika Dar 11 alfajiri au kesho yake kabisa
HIYO NI BIASHARA HURIA KILA MTU NA BEI YAKE KAMA HUWEZI ACHA WENZIO WATANUNUA
 
Kama vipi,pika asubuhiasubuhi,kula vizuri,oga,kapande BUS,ndani ya BUS ibaki ni kunywa maji tu na juice ukitaka.Vitu vingine solution yake ni ndogo tu,waache walioambiwa wale kulingana na urefu wa kamba zao WALE maeneo hayo.
Tumia akili.

Sio kila safari mtu anatokea nyumbani.

Safari zingine unatokea mkoani kikazi (mfano Musoma/Rukwa), unarudi zako Dar es Salaam.

Unatoka Musoma/Rukwa saa kumi usiku, unafika Dar 11 alfajiri au kesho yake kabisa
 
Salam,

Nilipita hapo leo nikazama nikauliza bei ya hizo chips, kuna vifuko vya kaki vilivyokatwa nusu wamewekemo chips kidogo ba nyama finyango hazifiki 7.

Nilichoona kwa bei zile wasafiri wanapigwa sana. Utanunua tu kwa kuwa hakuna option. Hii nchi hakuna wanaodhibiti bei za vitu?
Wanapiga faida nzuri tu mana usipokula utasafiri na njaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom