Hahahahaha mpango wako ni nini hasa?Ili kunogesha safari zaidi unaandaa mayai yako ya kuchemsha yakutosha, hotpot kubwa la makande yakisindikizwa na chupa kubwa la juice ya parachichi mixer ndizi.
Hapo safari yako itakuwa murua hasa ukiwa kwenye zile bus za luxury full Ac.
Kufurahia safari🤣🤣🤣Hahahahaha mpango wako ni nini hasa?
Yaani hapo ukija kupiga kombora, atomic haifui dafu hapo.Ili kunogesha safari zaidi unaandaa mayai yako ya kuchemsha yakutosha, hotpot kubwa la makande yakisindikizwa na chupa kubwa la juice ya parachichi mixer ndizi.
Hapo safari yako itakuwa murua hasa ukiwa kwenye zile bus za luxury full Ac.
Hapana mkuu,Safari ndefu utakula tu ikibidi,kwa Leo nilishindwa.Roho imekataa bei yao maana haviendani.Uza bei sana na ongeza ubora sana.MTOA MADA NDO WALE WATU WAKISAFIRI MAINDI YA KUCHEMSHA TWENDE MAYAI YA KUCHEMSHA TWENDE MAKANDE TWENDE SIJUI KOROSHO KARANGA BAGIA AKUNA KITU ANAACHA ALAFU ULIYE KAANAYE AKUNA RANGI UTAACHA ONA IYO SIKU
Uwe unatembea na jiko, mchele, mboga, wakisimama kula na wewe unawasha jiko, unapikaSalam,
Nilipita hapo leo nikazama nikauliza bei ya hizo chips, kuna vifuko vya kaki vilivyokatwa nusu wamewekemo chips kidogo ba nyama finyango hazifiki 7.
Nilichoona kwa bei zile wasafiri wanapigwa sana. Utanunua tu kwa kuwa hakuna option. Hii nchi hakuna wanaodhibiti bei za vitu?
Huu upumbavu watu wameshalalamika sana, yan jamaa wanatuonaga kama watalii aisee.Salam,
Nilipita hapo leo nikazama nikauliza bei ya hizo chips, kuna vifuko vya kaki vilivyokatwa nusu wamewekemo chips kidogo ba nyama finyango hazifiki 7.
Nilichoona kwa bei zile wasafiri wanapigwa sana. Utanunua tu kwa kuwa hakuna option. Hii nchi hakuna wanaodhibiti bei za vitu?
Pengine haupo updated,WaTz tunaendekeza sana kulakula njiani tukiwa safarini.
Kaanga vipande vya ndizi mzuzu na vioande vya nyama kiasi funga kwenye foil panda bus.
Ukifika njiani unakula mdogomdogo.
Vinginevyo mwendo wa bites tu na juice mbona safi tu.
Huwezi kufa kwa kushindwa kula siku moja tu ya safari.