chinese!!!

chinese!!!

Ukimaanisha hii,sasa hii na aliyoitaja charminglady si jamii moja,tofauti ni uchanuaji wa majani tu...

5835446952_53f0bb7eb8_z.jpg
 
Last edited by a moderator:
Sukuma wiki ni mboga nyingine kabisa mkuu, watu wa Nairoberry watanisupport kwa hili

Sasa kwani hao watu nao unawahesabu katika watu wanaojua kiswahili,ungeniambia watu wa Mombasa au wa Tanga labda ningekuelewa...
 
Niliuliza swali, naona hakunijibu...ila nishampatia jibu pia naona hajaliona...

exactly ..... hii ndo chinese ninayoulizia jinale kwa kiswahili.... kama alivyojibu watu8 kuwa yaitwa haradali....
 
Last edited by a moderator:
exactly ..... hii ndo chinese ninayoulizia jinale kwa kiswahili.... kama alivyojibu watu8 kuwa yaitwa haradali....

At last umekuja loh, maana tulikua mie na St. Paka Mweusi tukaanza kuchachua thread heheh
 
Last edited by a moderator:
wapi wataalamu wa KILIMO??????

Hahah mie mbona si mkulima, ila ninaijua kutokea jina la Kichina as I used to buy hii mboga wakati huo nikiwa huko Peking, so from there ikawa rahisi kupata tafsiri ya Kiswahili...
Kichina huitwa "jie cai"
Kimombo huitwa "mustard"
 
kwa hivyo ndo yaitwa haradali sio???
 
wapi wataalamu wa KILIMO??????

Yap semegi langu! Hamasisha! Wataalamu waje bwanah!
Afu watufundishe na namna ya "kuchuma mboga" kwani shem we baadakua unaijua chainizi na kuichuma wajua? Eeh shem tusaidie na mamember wengine .
 
Mkuu kuna kitu nahisi umekosea...kwanza picha ya mboga uliyoleta in mandarin chinese huwa yaitwa Xiao Bai Cai ila hilo neno Bok Choy nadhani itakuwa ni Cantonese (Kichina cha Hong kong na Taiwan), ni jamii ya "kabeji", maana wachina wana jamii nyingi za "kabeji".

Mustard (Jiecai/ Gaichoy) ndio yaitwa Haradali mkuu.
 
Yap semegi langu! Hamasisha! Wataalamu waje bwanah!
Afu watufundishe na namna ya "kuchuma mboga" kwani shem we baadakua unaijua chainizi na kuichuma wajua? Eeh shem tusaidie na mamember wengine .

sio hivyo my shem me nataka kujua jina tu.... nothing more!!!
 
Back
Top Bottom