Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,343
- 111,608
Inaitwa Sukuma wiki hiyo....
Sukuma wiki ni mboga nyingine kabisa mkuu, watu wa Nairoberry watanisupport kwa hili
Inaitwa Sukuma wiki hiyo....
Chainizi
Boss unataka umpikie shem nini?
Alaf hizo ni nzuri sana kwako.
Zina ongeza naniii!
Na figiri na mgagani ni zipi!??
Kumbe mtakatifu mnyama mdogo wa blaka , nyago lako liko active! Uko sahihi .
yethu mecheka mpaka machozi!!!
mgagani ni ile mboga chungu hivi.... figiri siifahamu
Na figiri na mgagani ni zipi!??
Judgement mimi sizungumzii uchumaji mboga. ... nazungumzia aina ya mboga tafwadhali.....
figili(sio figiri) ni horseradish.....hiyo mgagani ni huko kwenu Nanjilinji ndo mnaikula....huku Yorkshire hatuijui.....
sisi kule kwetu tunaiita chainamy shem amekosea sukumawiki ni tofauti na chinese!!!!
basi nimempigia mtu simu kanijibu mchicha wa kichina mie nimetaka kufwariki hahhahahhaha jamani duniani kuna mambo
duh but cjaakubali...