chinese!!!


charminglady

charminglady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Messages
18,159
Points
2,000
charminglady

charminglady

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2012
18,159 2,000
mamboz....
hivi ile mboga ya majani inayoitwa "chinese" kwa kiswahili inaitwaje?????
 
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
46,079
Points
2,000
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
46,079 2,000
Boss unataka umpikie shem nini?
Alaf hizo ni nzuri sana kwako.
Zina ongeza naniii!
mamboz....
hivi ile mboga ya majani inayoitwa "chinese" kwa kiswahili inaitwaje?????
 
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
19,495
Points
1,250
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
19,495 1,250
Na figiri na mgagani ni zipi!??
 
Arushaone

Arushaone

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2012
Messages
14,736
Points
2,000
Arushaone

Arushaone

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2012
14,736 2,000
Ngoja nimuulize yfu Mamzalendo akiniambia nitakuja kuwaambia kwa kuwa hayo makitu mie siyajui kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Messages
8,809
Points
2,000
Mtambuzi

Mtambuzi

Platinum Member
Joined Oct 29, 2008
8,809 2,000
Wamesema kiswahili na sio KINYAMWEZI wewe bwana mdogo
sasa mbona charminglady kanambia kuwa nimepatia........... acha unoko bana............LOL
 
Last edited by a moderator:
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Messages
10,351
Points
1,225
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2011
10,351 1,225
TAARIFA KWA MTOA MADA
Hivi hapa unachotaka tuchangie jina la mboga ?
Au tujadili UCHUMAJI MBOGA? Maanake kama ni Chuma mboga tu tubadili miondoko ya uchangiaji! Fafanuo plizz .
 

Forum statistics

Threads 1,284,334
Members 494,038
Posts 30,821,457
Top