China yaipatia Tanzania msaada wa TSh. Bilioni 35

Mtonyo huu ni sawa na 2% ya makusanyo wakati wa JK au 0.7% ya makusanyo wakati wa mwendazake.

Kuna issues kama nchi tuwe serious. Hii misaada ya 15bn ni makusanyo tu ya Manispaa ya Kinondoni.

Tunaposaidiwa hela ndogo au kujengewa matunduni huu wa bakuli "saia saidia" kuna pahala akili zinalala.

Nchi hii ina potential ya kufanya makubwa ila imekosekana creative & innovative brain ili makubwa yafanyike na hela zizalishwe.
Wewe una hiyo creative na innovative brain?
 
Mkuu Freddie Matuja, nilipoandika mchango wangu hapo juu nilikuwa sijakusoma, lakini naona tunazungumza lugha moja kati yetu.

Hivi vimisaada vinatupofusha sana, hadi hapo tutakapoanza kujitambua ndipo tutakapoona ni kiasi gani tulivyokuwa vipofu.

Na hawa jamaa wanaojipambanua kuwa marafiki na kupenda sana kutupa vimisaada kama hivi, nadhani moyoni wanatucheka.

Sasa ngoja nikwambie:huyu rafiki yetu China, angekosa kitu gani kwa kutusaidia na soko lake tu la maparachichi yetu. Tutahitaji maparachichi kiasi gani kupata hela hiyo, ambayo ingekwenda moja kwa moja kwa wakulima wetu?

Ukimwambia atufungulie soko, utasikia visingizio chungu nzima, halafu hapa anafurahi sana kuonekana akitupa hivi vipesa!
Ndugu yangu Kalamu, we acha tu.
 
Wewe una hiyo creative na innovative brain?
Ruge alikua hajui kupiga chombo chochote cha music na kuimba, yet aliweza kusaidia wanamuziki wengi kutunga nyimbo nzuri na kuwafanya wakang'ara kwa kutengeneza THT platform.

Ruge kwa kushirikina na wenzie walihakikisha fiesta inakuwa tamasha kubwa Tanzania, walianza na wanamuziki wakubwa toka nje na eventually wakawa wanafanya fiesta kwa 100% local artist.

Isaac Newton waliokuja na formula ya ku-overcome gravitational force hakuweza hata kurusha tiara, ila alijenga msingi wa fikra na fahamu kuwa inawezekana ku-overcome gravitational force na kurusha kitu angani.

JF ni jukwaa na great thinkers; creativity & innovation ni products ya creative imagination na au synthetic imagination. Na ili ufanya jambo kubwa lazima kuwa na collaborative effort na team player. Watanzania siku tukiamua kufikiri tofauti kwa ku-solve matatizo au kuja na solution tutafika. Nje ya hapo tutabaki kulima pamba, tutauza pamba China, India na Vietnam then tutaenda tena India, China na Vietnam kununua nguo za kuvaa ikiwemo vitu vya kawaida kama leso, chupi, vitambaa kama skafu za shingoni.

Siku tukiamua tutaweza.
 
Mathalani, napouza chai ghafi Kenya, korosho ghafi India na Vietnam baadae Kenya akaongeza thamani ya chai akauza UK na Dubai, then Vietnam nae akaongeza thamani ya korosho kwa kubangua tu, then akauza Marekani na Canada;
Maana yake hatujataka kujihangaisha kutumia financial instruments ili kupata know how na technology ya kuongeza thamani agro produce zetu.

Sri Lanka ina ukubwa wa sqm 65,000 less than Moro region yenye sqm 72,000.

Yet foreign earnings zao kwenye pamba na chai far big more than Li-Tanganyika lote hili.

Kuna pahala hatujaamiua kutumia akili zetu vya kutosha na kuachana na story za msaada wambao ni chini ya makusanyo 1% ya makusanyo ya mwezi.

Hii ni aibu ila basi, siku tukifunguka akili na kuzitumia sawasawa bila shaka tutafanya tofauti
Hii nchi jinsi unavyoiona kubwa ndivyo jinsi ambavyo pia sehemu kubwa inategemea makusanyo ya serikali na taasisi zake ili kuendeshe shughuli za kijamii.hayo unayoyawaza lazima ujue yanahitaji tuwe na uwezo mkubwa wakifedha kuanzia kwenye serikali hadi sekta binafsi ili angalau tuwe na uwezo wakufanya ushindani kwenye soko lakimataifa.Na ukumbuke pia fedha inayokusanywa ni kidogo kwahiyo ili tuweze kufika uko mbali lazima kuna mambo mengi yakuweka sawa kuanzia elimu,teknolojia sera ma sheria zauwekezaji na uchumi ikiwa ni pamoja na kutumia ipasavyo fedha za ziada tunazozipata toka kwa nchi wahisani iwe ni mikopo au misaada.Kwahiyo kamwe usiwaze unaweza kufika uko bila sapoti za nchi zingine.
 
Hii nchi jinsi unavyoiona kubwa ndivyo jinsi ambavyo pia sehemu kubwa inategemea makusanyo ya serikali na taasisi zake ili kuendeshe shughuli za kijamii.hayo unayoyawaza lazima ujue yanahitaji tuwe na uwezo mkubwa wakifedha kuanzia kwenye serikali hadi sekta binafsi ili angalau tuwe na uwezo wakufanya ushindani kwenye soko lakimataifa.Na ukumbuke pia fedha inayokusanywa ni kidogo kwahiyo ili tuweze kufika uko mbali lazima kuna mambo mengi yakuweka sawa kuanzia elimu,teknolojia sera ma sheria zauwekezaji na uchumi ikiwa ni pamoja na kutumia ipasavyo fedha za ziada tunazozipata toka kwa nchi wahisani iwe ni mikopo au misaada.Kwahiyo kamwe usiwaze unaweza kufika uko bila sapoti za nchi zingine.

Ukipata nafasi pitia mchango wa mwana JF mwenzetu, na chini yake nimechangia. Kuna fedha kama cash na kuna fedha kama instrument. Kwa watu wenye kuona mbali wanatumia financial instrument to the bridge the gap to acquire technology and know-how in kuwa competitive kwenye soko kwa kila kinachoingia.

Financial instruments ziko allover the world; tukiweza kutumia financial brokers tunazipata then we all win. Otherwise tukisubiri kujenga uwezo nayo ni option japo zipo zingine kama watu wako tayari kukaa mezani ili mambo yafanyike.

Kama una kumbukumbu, fuatilia aliewekeza mlimani city. Hakuna na lots of hardcash, alitumia financial instrument kufikia malengo yake. Alichohitaji kwetu ilikuwa ni legal docx toka UDSM kuwa wanamkubalie akodi ile ardhi kwa miaka...... nao watapata.... kwa mwaka baada ya yeye kuwekeza.
Jamaa akavuta mpunga, the rest is history
 
Back
Top Bottom