Afadhali hata wangetupa chanjo yao ile Sinopharm, kwa wale wazee wetu wanaotaka wachanje angalau ingegusa kidogo.....Chanjo vipi
It is cooking aisee...Kwa serikali bado ni hela mbuzi tu! Naona wanaanza kumlainisha mama kuhusu mchongo wa Bandari ule 😂😂😂
Wewe una hiyo creative na innovative brain?Mtonyo huu ni sawa na 2% ya makusanyo wakati wa JK au 0.7% ya makusanyo wakati wa mwendazake.
Kuna issues kama nchi tuwe serious. Hii misaada ya 15bn ni makusanyo tu ya Manispaa ya Kinondoni.
Tunaposaidiwa hela ndogo au kujengewa matunduni huu wa bakuli "saia saidia" kuna pahala akili zinalala.
Nchi hii ina potential ya kufanya makubwa ila imekosekana creative & innovative brain ili makubwa yafanyike na hela zizalishwe.
Ndugu yangu Kalamu, we acha tu.Mkuu Freddie Matuja, nilipoandika mchango wangu hapo juu nilikuwa sijakusoma, lakini naona tunazungumza lugha moja kati yetu.
Hivi vimisaada vinatupofusha sana, hadi hapo tutakapoanza kujitambua ndipo tutakapoona ni kiasi gani tulivyokuwa vipofu.
Na hawa jamaa wanaojipambanua kuwa marafiki na kupenda sana kutupa vimisaada kama hivi, nadhani moyoni wanatucheka.
Sasa ngoja nikwambie:huyu rafiki yetu China, angekosa kitu gani kwa kutusaidia na soko lake tu la maparachichi yetu. Tutahitaji maparachichi kiasi gani kupata hela hiyo, ambayo ingekwenda moja kwa moja kwa wakulima wetu?
Ukimwambia atufungulie soko, utasikia visingizio chungu nzima, halafu hapa anafurahi sana kuonekana akitupa hivi vipesa!
Ruge alikua hajui kupiga chombo chochote cha music na kuimba, yet aliweza kusaidia wanamuziki wengi kutunga nyimbo nzuri na kuwafanya wakang'ara kwa kutengeneza THT platform.Wewe una hiyo creative na innovative brain?
Mtoto keshaingia kingi huyu.....Taratibuuuu mwisho mtoto ataachia upaja tu 😝😝😝!!!
Hizo ndio outing za KFC zimeanza
Endelea kupambana na mfu, muda utaongea, tushashuhudia bandarini, tunasubiri makusanyo.Kama za MAYANGA Construction vile.
Hahahah mambo ya umate umate kishika uchumbaMtoto keshaingia kingi huyu.....
bado kuchinjwa tu na bazazi
Hizo ni sawa na Kilomita 35 (tu) za barabara ya lami.Kwa serikali bado ni hela mbuzi tu! Naona wanaanza kumlainisha mama kuhusu mchongo wa Bandari ule 😂😂😂
Huenda labdaHizo ni sawa na Kilomita 35 (tu) za barabara ya lami.
Kwa kweli ni hela mbuzi, na hata umuhimu wa kuzitangaza siujui.
Labda tunajikumbusha ule msemo kuwa, "Chululu si ndondondo"
Hii nchi jinsi unavyoiona kubwa ndivyo jinsi ambavyo pia sehemu kubwa inategemea makusanyo ya serikali na taasisi zake ili kuendeshe shughuli za kijamii.hayo unayoyawaza lazima ujue yanahitaji tuwe na uwezo mkubwa wakifedha kuanzia kwenye serikali hadi sekta binafsi ili angalau tuwe na uwezo wakufanya ushindani kwenye soko lakimataifa.Na ukumbuke pia fedha inayokusanywa ni kidogo kwahiyo ili tuweze kufika uko mbali lazima kuna mambo mengi yakuweka sawa kuanzia elimu,teknolojia sera ma sheria zauwekezaji na uchumi ikiwa ni pamoja na kutumia ipasavyo fedha za ziada tunazozipata toka kwa nchi wahisani iwe ni mikopo au misaada.Kwahiyo kamwe usiwaze unaweza kufika uko bila sapoti za nchi zingine.Mathalani, napouza chai ghafi Kenya, korosho ghafi India na Vietnam baadae Kenya akaongeza thamani ya chai akauza UK na Dubai, then Vietnam nae akaongeza thamani ya korosho kwa kubangua tu, then akauza Marekani na Canada;
Maana yake hatujataka kujihangaisha kutumia financial instruments ili kupata know how na technology ya kuongeza thamani agro produce zetu.
Sri Lanka ina ukubwa wa sqm 65,000 less than Moro region yenye sqm 72,000.
Yet foreign earnings zao kwenye pamba na chai far big more than Li-Tanganyika lote hili.
Kuna pahala hatujaamiua kutumia akili zetu vya kutosha na kuachana na story za msaada wambao ni chini ya makusanyo 1% ya makusanyo ya mwezi.
Hii ni aibu ila basi, siku tukifunguka akili na kuzitumia sawasawa bila shaka tutafanya tofauti
Tutashuhudia na MAYANGA.Endelea kupambana na mfu, muda utaongea, tushashuhudia bandarini, tunasubiri makusanyo.
Hii nchi jinsi unavyoiona kubwa ndivyo jinsi ambavyo pia sehemu kubwa inategemea makusanyo ya serikali na taasisi zake ili kuendeshe shughuli za kijamii.hayo unayoyawaza lazima ujue yanahitaji tuwe na uwezo mkubwa wakifedha kuanzia kwenye serikali hadi sekta binafsi ili angalau tuwe na uwezo wakufanya ushindani kwenye soko lakimataifa.Na ukumbuke pia fedha inayokusanywa ni kidogo kwahiyo ili tuweze kufika uko mbali lazima kuna mambo mengi yakuweka sawa kuanzia elimu,teknolojia sera ma sheria zauwekezaji na uchumi ikiwa ni pamoja na kutumia ipasavyo fedha za ziada tunazozipata toka kwa nchi wahisani iwe ni mikopo au misaada.Kwahiyo kamwe usiwaze unaweza kufika uko bila sapoti za nchi zingine.