China yaipatia Tanzania msaada wa TSh. Bilioni 35

China yaipatia Tanzania msaada wa TSh. Bilioni 35

Nunaomba kufahamu hii mikopo Huwa inalipwa vipi.. je huwa tuailipa kupitia bajeti zetu za kifedha au kwa njia gani wakuu?

Sio vibaya kukopa pale unapo kwama.. binafsi nadhani ingekuwa ni vizuri pia kama kuna namna ambavyo sisi huwa tunawasaidia tuwe tunatangaza pia kwenye media kama hivi itapendeza sana.

Au huwa hawafaidiki na sisi??
Ndio maana mnaambiwa msikilize bajeti ya nchi siku inasomwa. Ukishindwa kuisikiliza Basi ipitie. Hasa kipemgele Cha matumize ya fedha za umma
 
Tufurahi

​


Leo China inametupatia "msaada wa $17m" ambao siyo mkopo! Kwa wa=tu wa mahesabu wanaona kuwa hiyo ni interest ya kipindi kufupi sana kwenye mkopo wa miaka 30.
 
Mtoa hoja asante sana kwa taarifa. Ila kuna namna nashanga kama ni msaada au mkopo.

Hapa chini kuna gazeti la mwananchi wao wanatujuza ni "msaada"


the citizen wanatujuza ni mkopo.
 
Walete Tu Ila maeneo yanakopaki majahazi majahazi hivi penye upepo mwanana ni hands off wajukuu watajenga
 
Kwahiyo huu ni msaada pure na sio mkopo? Basi sawa
Watz ktk Kiswahili inabidi tupate elimu ya kutosha juu ya msaada, mkopo na kuchangia hii ktk mambo ya fedha, mie pia uwa sielewi unapewa msaada baadae unatakiwa kulipa pamoja na riba, wajuvi watusaidie!
 
Kabisa Mkuu...
Yaani Tuombe MUNGU tuu wachina ni wajanja sanaaa
Mnauzwa round hii😅😅😅 wameimaliza ya Mombasa wanakuja kuimaliza ya Dar halafu wanasimika yao ya Bagamoyo
 
Back
Top Bottom