China sio nchi iliyoendelea

China sio nchi iliyoendelea

Sasa mimi naongelea wachina walipo China ndani kabisa sijui hao wachina wako wa wapi. Bado watu wana picha ya China ya wakati ule wa Mao mambo yame badilika pakubwa tu
Hujajibu swali.

Kwani Wachina wote wanakesha Weibo?
 
Kuna wanasiasa wamesoma uchumi, Prof Lipumba ni mwanasiasa kasoma uchumi, wa hivyo US gov wapo wengi na ni vichwa hasa.
Tofautisha siasa na uchumi. Naona hujaweza kutofautisha hayo mawili na kama hujaweza ni vigumu kuzungumzia hii hoja kimantiki.

Swali la kwanza la kiuchumi ni hili.

Ili nchi iitwe imeendelea au inaendelea, inatakiwa kuwa na vigezo gani?

Ukichunguza, utakuta jibu la swali hili bado ni mgogoro.

Wachumi wenyewe hawakubaliani.

Maana yake, hapa tutabishana sana kimtazamo na kutoana ngeu katika swali ambalo hata vigezo vilivyokubalika vya kupata jibu lake havipo.
 
Tofautisha siasa na uchumi. Naona hujaweza kutofautisha hayo mawiki na kama hujaweza ni vigumu kuzungumzia hii hoja kimantiki.

Serikali ya US hakuna waziri wa uchumi?
 
So, unataka kusema nini ?
Mnabishana kuhusu swali ambalo vigezo vilivyokubalika vya kupata jibu lake havijapatikana. Kila mtu ana kigezo chake. Wachumi wenyewe hawajakubaliana, swali lina siasa nyingi.

Hivyo, kwa sasa ni jambo la mtazamo.

Hakuna jibu la kiuchumi linaloweza kupimwa kwa vigezo vilivyokubalika linaloweza kupatikana.

Wengine watakwambia China imeendelea, wengine haijaendelea, wengine inaendelea, wengine imeendelea na inaendelea kwa wakati mmoja.

Hakuna vigezo vilivyokubalika kujibu swali, hivyo hakuna jibu la kueleweka la swali.
 
Achana na Trump, US gov na wao ni matapeli? au hoja yako ndio ile kwamba ni siasa.
US gov wana mengi ya kiuchumi, lakini make your case beside the US gov kwa sababu ukishaweka habari ya US gov Mchina atakujibu hizo ni siasa tu za mahasimu wangu wa kisiasa US gov na hapo anakuwa kashakuondolea credibility.

Usichoelewa nini hapo?
 
Tofautisha siasa na uchumi. Naona hujaweza kutofautisha hayo mawiki na kama hujaweza ni vigumu kuzungumzia hii hoja kimantiki.

Swali la kwanza la kiuchumi ni hili.

Ili nchi iitwe imeendelea au inaendelea, inatakiwa kuwa na vigezo gani?

Ukichunguza, utakuta jibu la swali hili bado ni mgogoro.

Wachumi wenyewe hawakubaliani.

Maana yake, hapa tutabishana sana kimtazamo na kutoana ngeu katika swali ambalo hata vigezo vilivyokubalika vya kupata jibu lake havipo.
Ungesema mapema.
 
20375745_1495058823866924_3364833802084953511_n.jpg

Nadhani mdahalo umeisha, ngoja niendelee na kazi.
 
Watu wengi wanajuwa kwamba china ni nchi iliyoendelea. China sio developed country, ni nchi inayoendelea.

Uchumi wa China wa 18 trillion USD GDP ni mdogo ukilinganisha na wingi wa raia wake. Pato la mwananchi wa kawaida wa China ni mdogo ukilinganisha na mataifa kama Japan, Germany, USA, UK, France[emoji632] nk.

Kwasababu ya udogo wa uchumi wa China, hata wa China wenyewe wanakimbilia USA, Europe, Japan, south Korea, Canada kutafuta maisha.

Hata hapa Afrika, huwezi kusikia mtu anakimbilia kutafuta maisha China. Mtu atapigana kwenda USA, Japan, Europe kutafuta maisha.

China bado sana. Level zake ni Misri, Algeria, Thailand
Uko sahih kbsa huwezi sikia mtu anasema mm nakwenda china kutafuta maisha Mara nyingi Ni usa,Canada,na baadhi ya nnchi za Europe

Wachina wannafanya Kaz sna kama punda kwa vile wanajuwa kule Ni maisha ni magumu hkn uarahisi wa access wa vitu vidgo
 
Watu wengi wanajuwa kwamba china ni nchi iliyoendelea. China sio developed country, ni nchi inayoendelea.

Uchumi wa China wa 18 trillion USD GDP ni mdogo ukilinganisha na wingi wa raia wake. Pato la mwananchi wa kawaida wa China ni mdogo ukilinganisha na mataifa kama Japan, Germany, USA, UK, France🇫🇷 nk.

Kwasababu ya udogo wa uchumi wa China, hata wa China wenyewe wanakimbilia USA, Europe, Japan, south Korea, Canada kutafuta maisha.

Hata hapa Afrika, huwezi kusikia mtu anakimbilia kutafuta maisha China. Mtu atapigana kwenda USA, Japan, Europe kutafuta maisha.

China bado sana. Level zake ni Misri, Algeria, Thailand
Alisikika bwege mtozeni mmoja akibweka baada ya kulewa vya bure
 
Ww ni mpumbavu kwa hiyo huu uzi unaongelea masuala ya waisilamu wanaishije ndani ya Marekani au china au unaongelea masuala ya kiuchumi ya China kutokana na hoja za mleta mada?

Hivi nyinyi watu dini mbona zimewafanya kuwa wapumbavu kuasi hichi?

Mada hapa ni china ni nchi iliyo endelea au inayo endelea sasa hapa mambo ya sijui waisilam yameingiaje?
Mod ifikie hatua waanze kuwashughulikia wapumbavu kama nyinyi mnao haribu nyuzi za watu kwa kuingiza marumbano ya kidini.
Uislamu dini ya hovyo
 
Blunder gani mkuu, huo u kweli. China bado. Ila anajitahidi

Lakini hiyo 100 usd unaipataje ukiwa china
Ni blunder kaka kubali urekebishwe.
Nchi ambayo kwa miongo kadhaa imeweza kutoa zaidi ya 70% ya raia wake nje ya umasikini na kuacha raia milioni 17 kasoro kati ya raia bilion 1 naa maskini unawaitaje hawajaendelea??
Benki kuu ya China inaripotiwa kuwa benk inayokopesha sana duniani baada ya WB na IMF utawaitaje hawajaendelea??
Embu pima hata wewe mwenyewe kaka.
Nchi ya pili duniani kwa GDP unaiitaje inajitahidi??
 
Uko sahih kbsa huwezi sikia mtu anasema mm nakwenda china kutafuta maisha Mara nyingi Ni usa,Canada,na baadhi ya nnchi za Europe

Wachina wannafanya Kaz sna kama punda kwa vile wanajuwa kule Ni maisha ni magumu hkn uarahisi wa access wa vitu vidgo
Watu kukimbilia sana Ulaya kuliko Uchina ama Asia kutafuta maisha ni kwasababu Ulaya wako too civilized hilo nakubali na Ulaya sio wanyimi.
China na Asia in total ni ngumu sana kukufungulia wewe mgeni fursa.
 
Daah Mzee hichi unachokiongea umeambiwa au umeitembea China ukaona. Hiv ulishawahi kupita maeneo yenye homeless huko Chicago US au kule Orleans vinyumba vya mbao vibovu ambavyo hata kule kijijin kwetu havipo. Utasema America ni masikin.
Kama masikini wa US wako hivyo, basi huko China ni *3
 
Back
Top Bottom