China sio nchi iliyoendelea

China sio nchi iliyoendelea

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,540
Watu wengi wanajua kwamba China ni nchi iliyoendelea. China sio developed country, ni nchi inayoendelea.

Uchumi wa China wa 18 trillion USD GDP ni mdogo ukilinganisha na wingi wa raia wake. Pato la mwananchi wa kawaida wa China ni mdogo ukilinganisha na mataifa kama Japan, Germany, USA, UK, France🇫🇷 nk.

Kwasababu ya udogo wa uchumi wa China, hata wa China wenyewe wanakimbilia USA, Europe, Japan, south Korea, Canada kutafuta maisha.

Hata hapa Afrika, huwezi kusikia mtu anakimbilia kutafuta maisha China. Mtu atapigana kwenda USA, Japan, Europe kutafuta maisha.

China bado sana. Level zake ni Misri, Algeria, Thailand
 
Mtu akimbilie Japan ???? Ngoja waje
Yes, japan ni developed country, sema si rahisi kupata kazi kama kwingine, lkn wako vizuri....
Watu wengi wanajuwa kwamba china ni nchi iliyoendelea. China sio developed country, ni nchi inayoendelea

Uchumi wa china wa 18trillion USD GDP ni mdogo ukilinganisha na wingi wa raia wake. Pato la mwananchi wa kawaida wa china ni mdogo ukilinganisha na mataifa kama Japan, Germany, USA, UK, France🇫🇷 nk.

Kwasababu ya udogo wa uchumi wa china, hata wa china wenyewe wanakimbilia USA, Europe, Japan, south Korea, Canada kutafuta maisha

Hata hapa Africa, huwezi kusikia mtu anakimbilia kutafuta maisha china. Mtu atapigana kwenda USA, Japan, Europe kutafuta maisha.

China bado sana. Level zake ni misri, Algeria, Thailand
 
Mbona hizo nchi zote ulizo zitaja hapo kwa vipato vya mtu mmoja mmoja zinazidiwa mbali sana na Qtaar,UAE,Brunei, Singapore, kwahiyo hizo Ujerumani haijaendelea kisa inazidiwa na Qtaar kwenye kipato cha mtu mmoja mmoja?
 
China ya sasa ? China wamepiga comeback ya maana kaa mbali nao
Screenshot_20240106-135151.png
 
Watu wengi wanajuwa kwamba china ni nchi iliyoendelea. China sio developed country, ni nchi inayoendelea

Uchumi wa china wa 18trillion USD GDP ni mdogo ukilinganisha na wingi wa raia wake. Pato la mwananchi wa kawaida wa china ni mdogo ukilinganisha na mataifa kama Japan, Germany, USA, UK, France🇫🇷 nk.

Kwasababu ya udogo wa uchumi wa china, hata wa china wenyewe wanakimbilia USA, Europe, Japan, south Korea, Canada kutafuta maisha

Hata hapa Africa, huwezi kusikia mtu anakimbilia kutafuta maisha china. Mtu atapigana kwenda USA, Japan, Europe kutafuta maisha.

China bado sana. Level zake ni misri, Algeria, Thailand

na Tanzania maana wanakimbilia huku , wamejaa mpaka vijijini wanauza mahindi ya kuchoma

1705836147734.jpeg
1705836189280.jpeg
 
Mbona hizo nchi zote ulizo zitaja hapo kwa vipato vya mtu mmoja mmoja zinazidiwa mbali sana na Qtaar,UAE,Brunei, Singapore, kwahiyo hizo Ujerumani haijaendelea kisa inazidiwa na Qtaar kwenye kipato cha mtu mmoja mmoja?
sio kwel
 
Watu wengi wanajuwa kwamba china ni nchi iliyoendelea. China sio developed country, ni nchi inayoendelea.

Uchumi wa China wa 18 trillion USD GDP ni mdogo ukilinganisha na wingi wa raia wake. Pato la mwananchi wa kawaida wa China ni mdogo ukilinganisha na mataifa kama Japan, Germany, USA, UK, France🇫🇷 nk.

Kwasababu ya udogo wa uchumi wa China, hata wa china wenyewe wanakimbilia USA, Europe, Japan, south Korea, Canada kutafuta maisha.

Hata hapa Afrika, huwezi kusikia mtu anakimbilia kutafuta maisha China. Mtu atapigana kwenda USA, Japan, Europe kutafuta maisha.

China bado sana. Level zake ni Misri, Algeria, Thailand
Nchi zinazoendelea wanapewa advantages nyingi katika biashara hili ziendelee kukua ikiwemo kwenye ulipaji wa kodi ndio maana china yy anakomaa kwenye hiko kipengele hataki kuondolewa kwenye hzo nchi hao jamaa wanaakili ya kazi weng'ang'ana kuwaponda tu sasa ww hujifikiri kweli china awe kundi moja na Tanzania,uganda,kenya na somalia
 
Mbona hata hao Usa na uk wanaondoka kwenye nchi zao kwenda kwengne kutafuta fursa sio ajabu hao wachina kutaka kwenda western countries hata sisi wa Tanzania wapo wanaoishi Burundi watu wanapga mishe na wanaishi vizuri kuliko ww ulie hapo home lakini sio kwamba Burundi kuna uchumi kuliko Tanzania watu wanaangalia wapi fursa zipo.
Nimesoma na wachina nchini sweden, japan, USA and other western countries, wote wanataka kuzamia west and USa. Nipe sababu ya hilo
 
Back
Top Bottom