Watu wengi wanajua kwamba China ni nchi iliyoendelea. China sio developed country, ni nchi inayoendelea.
Uchumi wa China wa 18 trillion USD GDP ni mdogo ukilinganisha na wingi wa raia wake. Pato la mwananchi wa kawaida wa China ni mdogo ukilinganisha na mataifa kama Japan, Germany, USA, UK, France🇫🇷 nk.
Kwasababu ya udogo wa uchumi wa China, hata wa China wenyewe wanakimbilia USA, Europe, Japan, south Korea, Canada kutafuta maisha.
Hata hapa Afrika, huwezi kusikia mtu anakimbilia kutafuta maisha China. Mtu atapigana kwenda USA, Japan, Europe kutafuta maisha.
China bado sana. Level zake ni Misri, Algeria, Thailand