bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,345
- 25,322
Hao ni wachache ukilinganisha na population Yao ya watu 250.Kwamba wao pekee ndio wana machizi wengi duniani😀
Hao ni wachache ukilinganisha na population Yao ya watu 250.Kwamba wao pekee ndio wana machizi wengi duniani😀
Basi hata china ni matajiri mbele ya us ukilinganisha na population ya watu billion mbili kasoro million mia nneHao ni wachache ukilinganisha na population Yao ya watu 250.
China wengi wanaishi vijijiniBasi hata china ni matajiri mbele ya us ukilinganisha na population ya watu billion mbili kasoro million mia nne
Ila hawalali njeChina wengi wanaishi vijijini
Kulala nje ni mapenziIla hawalali nje
Kuishi kijijjni pia mapenziKulala nje ni mapenzi
Ila wee jamaa ni mpuuzi kweli kulala nje ni mapenzi hizi ni akili au matopeKulala nje ni mapenzi
Nimesoma na wachina nchini sweden, japan, USA and other western countries, wote wanataka kuzamia west and USa. Nipe sababu ya hilo
JF kila mtu kasomea nje ya nchi hizi IDs zake hizi[emoji23][emoji23][emoji23]
Ushamba unakusumbua sanaJF kila mtu kasomea nje ya nchi hizi IDs zake hizi[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila unaropokaga sana kwa mambo ambayo huna uelewa nayoKuishi kijijjni pia mapenzi
China Ina maendeleo ya vitu, sio ya watu
Halafu wewe ndio unajiona hujaropoka etiIla unaropokaga sana kwa mambo ambayo huna uelewa nayo
Marekani ni capitalist state tokea 1777 inapata uhuru china imeadopt capitalism miaka ya 1980's hivi kweli unaweza fananisha na marekani serious
Marekani ukifungwa kuna majimbo hurusiwi kumiliki nyumba jimbo kama la california halina affordable housing matokeo yake wamekua na homeless kubwa kwa lugha nyingine wewe kuwa maskini ni mtenda dhambi sababu system ya uchumi wao iko kwa ajili ya kuwabiriki wenye kipato kizuri na kuwaadhibu wenye kipato kidogo
Halafu wewe ndio unajiona hujaropoka eti Nikujuze tu wewe usie mropokaji marekani nzima inakumbwa na shida ya watu kutokua na makazi na kulala nje Sasa sijui mie na wewe nani mropokaji
Wewe ni mropokaji unaichukia marekani sababu ya mambo ya kidini wewe ni muislamu na jambo lolote la marekani lazima uiponde tu nani asiyekujuaHalafu wewe ndio unajiona hujaropoka eti
Nikujuze tu wewe usie mropokaji marekani nzima inakumbwa na shida ya watu kutokua na makazi na kulala nje
Sasa sijui mie na wewe nani mropokaji
Nikikwambia wewe mropokaji ujue namaanishaWewe ni mropokaji unaichukia marekani sababu ya mambo ya kidini wewe ni muislamu na jambo lolote la marekani lazima uiponde tu nani asiyekujua
Wewe unaichukua marekani kwenye kila uzi unaohusu marekani lazima uiponde hadi kwenye mambo ambayo yapo waziNikikwambia wewe mropokaji ujue namaanisha
Sasa mimi kua muislam na kuichukia marekani wap na wap
Nikujuze tu wala siichukii marekani na wala sijawahi kuwachukia marekani ila nawachukia wapuuzi wachache wanaongoza marekani ikwemo wale wanaoona LGBTQ+ ni bora kuliko uke wenza kama wewe unawapenda hao pole yako
Pia mimi muislam kweli na najivunia sana sana sana kua muislam na naomba Allah anijaalie nife nikiwa muislam kama wewe sio muislam unakula hasara na hujachelewa kua muislam
Mwisho nikirejelea kwenye hoja mimi sio bbc mm sio reuters wala mimi sio MSM
Nenda huko mitandaoni kagugo utapewa majibu halaf uone kama nahao watoa majibu kama waislam kama mimi au wanaichukia marekani au wamesema ukweli
Uache uropokaji mdogo wangu hata google unashindwa kuitumia
Nilitaka kusahau najivunia sana sana sana kua muislam na nawaonea huruma sana mliochelewa kupata hii neema ya kua muislamu
Nimeichukia marekani kwenye uzi upi hemu ntajie nioneWewe unaichukua marekani kwenye kila uzi unaohusu marekani lazima uiponde hadi kwenye mambo ambayo yapo wazi
Sikuambii uisifie kwenye kila jambo hapana
Marekani na mapungufu yake yote ila muislamu anayeishi marekani ana uhuru mkubwa sana wa kuabudu kuliko anayeishi china
Na nikukumbushe hatuwezi wote kuwa waislamu sababu sio kila kitu kime-revovle around uislamu
Ww ni mpumbavu kwa hiyo huu uzi unaongelea masuala ya waisilamu wanaishije ndani ya Marekani au china au unaongelea masuala ya kiuchumi ya China kutokana na hoja za mleta mada?Wewe unaichukua marekani kwenye kila uzi unaohusu marekani lazima uiponde hadi kwenye mambo ambayo yapo wazi
Sikuambii uisifie kwenye kila jambo hapana
Marekani na mapungufu yake yote ila muislamu anayeishi marekani ana uhuru mkubwa sana wa kuabudu kuliko anayeishi china
Na nikukumbushe hatuwezi wote kuwa waislamu sababu sio kila kitu kime-revovle around uislamu
Blunder gani mkuu, huo u kweli. China bado. Ila anajitahidiDaaah!
Kweli Tanzania kila mtu mjuaji.
Katika worlds greatest economy by GDP China ni taifa la pili baada ya USA.
China is the most industrialised nation in the world ikifuatiwa na India.
China ina contribute almost 60% ya world's industrial goods.
China ipo katika top ten ya mataifa yanayoongoza ku raise up billionaires interm of dollars kila mwaka.
Ukisema kuhusu GDP per capita hata top twenty USA humuweki nchi zinazoongoza ni Brunei,Luxembourg,Macau,Qatar na zinginezo.
Raia wa China wanaoishi behind poverty line ni takriban 16.8 million citizens ilhali population ya China ni 1.6+ billion citizens zaidi ya 880 millions citizens wamekua lifted kwenye upper and middle income earners.
Umetumia vigezo gani kuipima China kiuchumi bro??
Umekosea sana umeandika blunder sana waambie wana uchumi wakusaidie uondoe blunder uloleta.
Lakini hiyo 100 usd unaipataje ukiwa chinaKaa chini ufuatilie vitu, GDP per capita sio kipimo pekee, kuna PPP pia ambapo China ndio inaongoza duniani, ukipewa dola 100 uitumie ukiwa China utaspend sana, utakula vizuri, usafiri n.k, hio dola 100 kwa US unaweza spend kidogo tofauti na China.
China ipo katika ulimwengu wake kivyake.
Ndio maana kuna cheap labor, ndio maana kampuni za US zinaweka viwanda huko, sababu ni moja ukiwa China huhitaji GDP per capita kubwa ili uishi vizuri.
Ni kweli.sio kwel