China sio nchi iliyoendelea

China sio nchi iliyoendelea

Mbona hata hao Usa na uk wanaondoka kwenye nchi zao kwenda kwengne kutafuta fursa sio ajabu hao wachina kutaka kwenda western countries hata sisi wa Tanzania wapo wanaoishi Burundi watu wanapga mishe na wanaishi vizuri kuliko ww ulie hapo home lakini sio kwamba Burundi kuna uchumi kuliko Tanzania watu wanaangalia wapi fursa zipo.
Uko sahihi, but influx kubwa iko wapi? Fursa ya kwenda Burundi ni isolated case on individul basis, siyo mass migration kuamsha attention ya watu
 
Watu wengi wanajuwa kwamba china ni nchi iliyoendelea. China sio developed country, ni nchi inayoendelea.

Uchumi wa China wa 18 trillion USD GDP ni mdogo ukilinganisha na wingi wa raia wake. Pato la mwananchi wa kawaida wa China ni mdogo ukilinganisha na mataifa kama Japan, Germany, USA, UK, France🇫🇷 nk.

Kwasababu ya udogo wa uchumi wa China, hata wa china wenyewe wanakimbilia USA, Europe, Japan, south Korea, Canada kutafuta maisha.

Hata hapa Afrika, huwezi kusikia mtu anakimbilia kutafuta maisha China. Mtu atapigana kwenda USA, Japan, Europe kutafuta maisha.

China bado sana. Level zake ni Misri, Algeria, Thailand
Daah Mzee hichi unachokiongea umeambiwa au umeitembea China ukaona. Hiv ulishawahi kupita maeneo yenye homeless huko Chicago US au kule Orleans vinyumba vya mbao vibovu ambavyo hata kule kijijin kwetu havipo. Utasema America ni masikin.
 
Daaah!
Kweli Tanzania kila mtu mjuaji.
Katika worlds greatest economy by GDP China ni taifa la pili baada ya USA.
China is the most industrialised nation in the world ikifuatiwa na India.
China ina contribute almost 60% ya world's industrial goods.
China ipo katika top ten ya mataifa yanayoongoza ku raise up billionaires interm of dollars kila mwaka.
Ukisema kuhusu GDP per capita hata top twenty USA humuweki nchi zinazoongoza ni Brunei,Luxembourg,Macau,Qatar na zinginezo.
Raia wa China wanaoishi behind poverty line ni takriban 16.8 million citizens ilhali population ya China ni 1.6+ billion citizens zaidi ya 880 millions citizens wamekua lifted kwenye upper and middle income earners.
Umetumia vigezo gani kuipima China kiuchumi bro??
Umekosea sana umeandika blunder sana waambie wana uchumi wakusaidie uondoe blunder uloleta.
 
Nchi zinazoendelea wanapewa advantages nyingi katika biashara hili ziendelee kukua ikiwemo kwenye ulipaji wa kodi ndio maana china yy anakomaa kwenye hiko kipengele hataki kuondolewa kwenye hzo nchi hao jamaa wanaakili ya kazi weng'ang'ana kuwaponda tu sasa ww hujifikiri kweli china awe kundi moja na Tanzania,uganda,kenya na somalia
China ni middle upper income country na 2018 walitaka kui lift kuwa upper income country ila China wakaleta sababu zao.
Hawa wanaosema China inajitahidi magorofa tuu wanachekesha.
 
Nchi zinazoendelea wanapewa advantages nyingi katika biashara hili ziendelee kukua ikiwemo kwenye ulipaji wa kodi ndio maana china yy anakomaa kwenye hiko kipengele hataki kuondolewa kwenye hzo nchi hao jamaa wanaakili ya kazi weng'ang'ana kuwaponda tu sasa ww hujifikiri kweli china awe kundi moja na Tanzania,uganda,kenya na somalia
Umejazia hoja ya maana sana...
Mwaka 2021 developed countries waliwaka kwanini China isiwepo kwenye kundi lao ila jibu la China wao bado nyuma kimaendeleo.Walikataa kutambuliwa kama developed ili waendelee kupata unafuu kama inchi inayoendelea.
 
Nimesoma na wachina nchini sweden, japan, USA and other western countries, wote wanataka kuzamia west and USa. Nipe sababu ya hilo
Hao kusema wanataka kuzamia ulaya haimaanishi China ni underdeveloped kaka.
Hata hiyo USA ina raia walala barabarani wengi sana wengine mpaka hufa kwa baridi.
Eastern Europe huongoza kuhamia Uturuki kwenda kutafuta maisha.
Wataka sema nchi za eastern Europe zote underdeveloped??
 
Hio ni article toka forbes embu isome mkuu.
Screenshot_2024-01-21-15-44-27-96_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-01-21-15-44-39-77_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
hayo ya tandahimba yako, China hakuna kitu wanajitahidi majengo, but not life as life, life is in the USA and western world...
Western ilikua zamani asahvi western maisha yamebadilika fursa zimebana za kila kitu interms ya ajira na fursa sasa zipo middle east Qatar,Kuwait,Dubai,Oman n.k.
 
Daaah!
Kweli Tanzania kila mtu mjuaji.
Katika worlds greatest economy by GDP China ni taifa la pili baada ya USA.
China is the most industrialised nation in the world ikifuatiwa na India.
China ina contribute almost 60% ya world's industrial goods.
China ipo katika top ten ya mataifa yanayoongoza ku raise up billionaires interm of dollars kila mwaka.
Ukisema kuhusu GDP per capita hata top twenty USA humuweki nchi zinazoongoza ni Brunei,Luxembourg,Macau,Qatar na zinginezo.
Raia wa China wanaoishi behind poverty line ni takriban 16.8 million citizens ilhali population ya China ni 1.6+ billion citizens zaidi ya 880 millions citizens wamekua lifted kwenye upper and middle income earners.
Umetumia vigezo gani kuipima China kiuchumi bro??
Umekosea sana umeandika blunder sana waambie wana uchumi wakusaidie uondoe blunder uloleta.
Sahihi mkuu, ambacho hawajui kuna PPP, huduma za kijamii kwao ni nafuu, China ndio nchi inaongoza duniani kwa PPP kubwa (purchasing power)

PPP China kuwa kubwa inatokana na huduma za bei nafuu na pia bidhaa za bei nafuu,licha ya wananchi wa China kuwa na GDP per capital ndogo huku nchi zinazoongoza ni Luxembourg,Qatar,Singapore n.k,nchi hizi kuwa na GDP per capital kubwa ni pamoja na udogo wa wananchi waliopo mfano mzuri ni Luxembourg yenye wakazi chini ya milioni moja na inaongoza duniani kuwa na GDP per capital kubwa.

China licha ya kuwa na GDP per capital ndogo against US lakini hiki kipimo cha PPP kinatuonesha kuwa mwananchi wa China bado anaweza kupata bidhaa zile zile au huduma zile zile za mwananchi wa US kwa bei nafuu zaidi hapa ndipo tunaona umuhimu wa PPP kuwa kubwa.
Kwa sababu tukisema tulinganishe matumizi ya mwananchi wa US kwa siku atamzidi wa China na hii inakuwa sio fair play,ndio maana economist wakaja na PPP.
Kuanzia huduma za taxi,afya,barbershop n.k ni nafuu saaana China ukilinganisha na US,kumuona doctor US ni around 50 usd lakini China ni 1 usd.Je kuna umuhimu wa mwananchi wa China kulipwa mshahara sawa na mwananchi wa US?
China ina PPP kubwa zaidi duniani.
PPP hii inaonesha kuwa mwananchi wa China anaweza kujihudumia vizuri kuliko mwananchi wa US,Qartar n.k.
Hivyo faida ya PPP kuwa kubwa ni kupelekea cheap labor na kuzidi na kuzidi kuongezas uzalishaji na uwekezaji wa makampuni ya kigeni nchini China hivyo kuzidi kukuza uchumi zaidi.
 
Hili watu hawalielewi kaka.
Mtu anakwambia China majengo tu doh aisee.
 
Watu wengi wanajuwa kwamba china ni nchi iliyoendelea. China sio developed country, ni nchi inayoendelea.

Uchumi wa China wa 18 trillion USD GDP ni mdogo ukilinganisha na wingi wa raia wake. Pato la mwananchi wa kawaida wa China ni mdogo ukilinganisha na mataifa kama Japan, Germany, USA, UK, France🇫🇷 nk.

Kwasababu ya udogo wa uchumi wa China, hata wa china wenyewe wanakimbilia USA, Europe, Japan, south Korea, Canada kutafuta maisha.

Hata hapa Afrika, huwezi kusikia mtu anakimbilia kutafuta maisha China. Mtu atapigana kwenda USA, Japan, Europe kutafuta maisha.

China bado sana. Level zake ni Misri, Algeria, Thailand
Kaa chini ufuatilie vitu, GDP per capita sio kipimo pekee, kuna PPP pia ambapo China ndio inaongoza duniani, ukipewa dola 100 uitumie ukiwa China utaspend sana, utakula vizuri, usafiri n.k, hio dola 100 kwa US unaweza spend kidogo tofauti na China.

China ipo katika ulimwengu wake kivyake.

Ndio maana kuna cheap labor, ndio maana kampuni za US zinaweka viwanda huko, sababu ni moja ukiwa China huhitaji GDP per capita kubwa ili uishi vizuri.
 
Nchi za kuishi na kuenjoy ni North America na West Europe period. Wengine ni fukuza mwenge tu.
Sehem zingine za dunia ni ubaguzi, less opportunities, udini, uncivilisation, hali ya hewa mbaya, less socialisation, lack of freedom, political instability, cultural sensitivity n.k ndio inapelekea hizo 2 kubaki ni vinara hapa duniani
 
China Ina maendeleo ya vitu, sio ya watu. ndio maana tafiti zilionesha ni moja ya nchi ambayo wananchi wake hawana furaha.

"... and development should be people centered".

Nchi za kuishi na kuenjoy ni North America na West Europe period. Wengine ni fukuza mwenge tu
Hio ilikua zamani.
Hizo nchi za Europe na North America sasa hivi zinasugua kichwa kuendana na sakata la fursa lililokuwepo sasa.
Goli lishahama kitambo lipo middle east sasa hivi.
 
Daah Mzee hichi unachokiongea umeambiwa au umeitembea China ukaona. Hiv ulishawahi kupita maeneo yenye homeless huko Chicago US au kule Orleans vinyumba vya mbao vibovu ambavyo hata kule kijijin kwetu havipo. Utasema America ni masikin.
Homeless wengi USA na ulaya ni mateja
 
Hio ilikua zamani.
Hizo nchi za Europe na North America sasa hv zinasugua kichwa kuendana na sakata ka fursa lililokuwepo sasa.
Goli lishahama kitambo lipo middle east sasa hivi.
Hueleweki. Kajipange andika upya. Middle east tunakolipwa laki 6 milion 2-3 na ukosefu wa uhuru na muingiliano plus hali ya hewa kimeo ndio unapaita fresh kwa kusaka maisha na ku settle? Hauko serious. Middle east tunaenda kusaka mitaji ya kuingia duniani (ulaya na bara Amerika [canada & US]) waarabu wenyewe wanakimbilia huko.
 
Back
Top Bottom