China na Xi Jinping vipi tena?

China na Xi Jinping vipi tena?

Ni.kama wengi tunatumia nadharia za kwenye makaratasi zaidi kuliko realistic.
Mfano: Kenya anategemea mahindi toka Tz na Tz nineporter wa mahindi.hivi akiweka ushuru mkubwa kwa mahindi ya Tz nani anapata athari za moja kwa moja?
Unaweza andika kiswahili au kiingereza ili nikuelewe nikujibu?
 
Huyu jamaa muda wote ni kui promote Marekani. Ni mswahili mwenzetu lakini anajisikia Mmarekani zaidi
Utazani biashara anaeza Fanya na marekani ..yaani muafrica anayewachukia china na kuwapamba wazungu hua namshangaa xnaa
 
Mbona umeshupaza shingo namna hiyo? We ni Mchina wa Dumila?
Nyani Ngabu mkorofi sana wewe upo easy na Umarekani wako wa Njinjo nimecheka sana eti Mchina wa Dumila pana Mchina yupo Lusaka hapa ana ubini wa Mulenga kaoa Mzambia nilicheka balaa..
 
Maisha na technology inaenda speed xnaa mkuu .Hayo magar mbona yatakuja kujaa bongo au unazani na sisi tutakua nyuma Kila siku
Urudi tena kwenye uchumi uangalie kama china anaweza kusivive kwa Trade anayofanya na Marekani. China ame subsidize viwanda vyake mno. Hawezi kupata masoko kwa wingi wa bidhaa anazopeleka Marekani ni ngumu kupata soko nchi nyingine bila kujua viwanda vya hiyo nchi. Kuna hatua ikifika kila nchi italinda nchi yake. Na pia bidhaa kama magari ya umeme unayaleta Afrika kufanya nini? Tuna facilities za kuyapokea? Baadhi ya ya SUV za kawaida hatuna barabara nzuri kwa ajili yake ndo tuanze kuwaza magari ya umeme?
 
Sio tu wote mpaka serikali yote ningekuwa na uwezo ningewahamishia hapa kwa mwaka wajifunze vitu vinafanyaje kaz. Tuache ushabiki ndezi na kulaumu
Mkuu tupe elimu tuelewe nini tufanye na kama zipo fursa za kujifunza huko kwenye mambo ya uwekezaji huku Afrika hasa Tanzania tufungue macho..
 
Maisha na technology inaenda speed xnaa mkuu .Hayo magar mbona yatakuja kujaa bongo au unazani na sisi tutakua nyuma Kila siku
Outlet za kuyajaza, umeme wa kutosha, Bado sana aisee. Uwezekano wa barabara kutanuliwa Bado mdogo sembuse pa kuchajia aisee
 
Baada ya Marekani kuongeza kufikia 145%

Jana msemaji wa China's Ministry of Commerce alisema kwenye press kuwa wataongeza

"If the United States is bent on waging a trade war, China will fight to the end."
– He Yongqian (Ministry of Commerce Spokeperson)

Huyu mleta mada huwa hajaelewa kinachoendelea

Mara zote China huwa inaongeza tariffs baada ya ile ya kwanza kuanza rasmi

Mara ya mwisho alitangaza kuiongezea Marekani tariffs kufikia 85% ilianza rasmi 10 April

Soon nadhani leo China itaongeza 50% kwenye 85% ya mwanzo itakuwa 135%

Hii vita haijaisha China ilishasema itaenda sambamba na Marekani mpaka mwisho

Mleta mada anaanza kushangalia ushindi wakati game is on
Mchina haamini linapokuja suala la kulinda maslahi yao. Ni wepesi kuzungumza ila ni wagumu kutenda. Sioni China ikitekeleza suala la kupambana na US bega kwa bega hadi mwisho kama wanavyosema.
 
Kiwango cha kodi za bidhaa zitokazo China kwenda Marekani sasa ni 145%.

Kiwango cha kodi za bidhaa zitokazo Marekani kwenda China ni 84%.

Naona Mchina kashindwa kwenda sambamba Mnyamwezi 🤣.

Nyie Wachina wa Kiuruwi na Tabata Sanene kujeni hapa mtoe maelezo [visingizio] yenu ni kwa nini mmeshindwa kula sahani moja na Trump.

145% dhidi ya 84% hakuna kabisa uwiano wala ukaribu wowote ule.

Mnazidi kuthibitisha kuwa ngoma nzito nzito hamziwezi. Mnachoweza ni ujanja ujanja na ulaghai tu.

Hata bidhaa zinazouzwa Temu, kwa mfano, ubora wake ni wa mashaka sana.

Nunua nguo toka Temu halafu ifue uone itavyobadilika 🤣.

Sijui kwa nini tu Wachina wako hivyo.

Ndo maana mimi siwawmini kabisa watu wanavyodai kuwa jeshi la China sasa hivi ndo jeshi la pili kwa ubora duniani.
Usiwe unarukia hqbari kabla ya mwisho wake sasa hii habari yako tayari ni mfu
 
Yani nyie waafrica mnaonunua mabeseni na yeboyebo kutoka china ndio mnaweza Ku replace soko la Marekani Kwa mchina.


Soko la Marekani Kwa mwaka linampa mchina Dola bilion 500 sawa na 3% ya GDP ya China..


Wakati soko Zima la Africa linampa mchina Dola bilion 160 tu.


Mpaka hapo utajua nani Yuko kwenye stress Sasa hivi
Wabongo wajuaji sana, Balance of Trade baina ya China na US ni kubwa sana. China ni mnufaika mkubwa ktk biashara hiyo. Kuikosa US kwake ni pigo kubwa. Ikatokea akaikosa Ulaya hapo ndio atalia kabisa.
 
Naungana na nadharia inayosema Jamiiforums ilikua na wachangiaji wa maana miaka ya 2005 mpaka 10 huko, sasa hivi hata hamu ya kuchangia unakosa, kwasababu watu hawajengi hoja, wanaleta ushabiki wa kitoto, si unaona hapo juu, jitu zima badala ya kujenga hoja objectively kivipi China haiwezi kujibu tariffs za Marekani katika namna ambayo watu ambao hawafaham kinachoendelea wangenufaika na hoja yake, badala yake bandiko zima ni ushabiki na emoji juu.

Kuna mjinga mwenzake pia atakuja na hoja ya kishabiki kwanini Marekani hamuwezi Mchina

Uzi mzima unakua wa watoto.
Mbona hao wachangiaji wa hizo nyakati unazozizungumzia ndio hawahawa, kwasasa wamepewa hadhi ya pirate-num members wa JF!!!
Usiwalaumu sana, umri nao unachangia, wameanza kuzeeka, nowadays wapo humu just for funny!
 
Ww hunq akili %60 ya bidhaa zote za china zinauzwa barani Asia alafu unaongea utopolo.
Labda ungesema Afrika ningekuelewa.
soko la asia na africa kwa mchina anaingza dola bil 160, soko la marekani hapa mchina anaingza dola 500 haya endelea kubwabwaja kama msengerema hapo.
 
Back
Top Bottom