China na Xi Jinping vipi tena?

China na Xi Jinping vipi tena?

Atakayeathirika hapa ni USA pakubwa, China analo soko la bidhaa zake Afrika na Asia, wakati USA anaarithiri watu wake mwenyewe. Juzi nimesikiliza BBC raia mmoja wa USA fundi magari anasema walikiwa wanategenea spare part from China na sasa havipo japo alisema ana amini vitakuja japo kwa ongezeka la dola 70.
Urudi tena kwenye uchumi uangalie kama china anaweza kusivive kwa Trade anayofanya na Marekani. China ame subsidize viwanda vyake mno. Hawezi kupata masoko kwa wingi wa bidhaa anazopeleka Marekani ni ngumu kupata soko nchi nyingine bila kujua viwanda vya hiyo nchi. Kuna hatua ikifika kila nchi italinda nchi yake. Na pia bidhaa kama magari ya umeme unayaleta Afrika kufanya nini? Tuna facilities za kuyapokea? Baadhi ya ya SUV za kawaida hatuna barabara nzuri kwa ajili yake ndo tuanze kuwaza magari ya umeme?
 
Atakayeathirika hapa ni USA pakubwa, China analo soko la bidhaa zake Afrika na Asia, wakati USA anaarithiri watu wake mwenyewe. Juzi nimesikiliza BBC raia mmoja wa USA fundi magari anasema walikiwa wanategenea spare part from China na sasa havipo japo alisema ana amini vitakuja japo kwa ongezeka la dola 70.
Kwa Marekani ataathirika kwenye bidhaa za vyakula tu atakosa wa kumuuzia ila ukiangalia somo la 2018, wizara ya kilimo ya Marekani ilitoa fidia kwa chakula chote kilichoharibika kisa vikwazo vya China. Hata mwaka huu watafanya hivo tena
 
Atakayeathirika hapa ni USA pakubwa, China analo soko la bidhaa zake Afrika na Asia, wakati USA anaarithiri watu wake mwenyewe. Juzi nimesikiliza BBC raia mmoja wa USA fundi magari anasema walikiwa wanategenea spare part from China na sasa havipo japo alisema ana amini vitakuja japo kwa ongezeka la dola 70.
wewe ni mjinga mchina soko alilonalo marekani na pesa anayoingza kuliko ampoteze marekan bora awapoteze hao asia na afrika fatilia utajua unadhan marekan ni fala yan ww unaona mbali kuliko marekani na trump
 
Huyu jamaa muda wote ni kui promote Marekani. Ni mswahili mwenzetu lakini anajisikia Mmarekani zaidi
Kawaida tu mbona humu kuna wa Yemen,wairan,warusi...and vice versa kulalamikia upande ambao sio wako ni kama ugomvi wa watoto.
 
Kiwango cha kodi za bidhaa zitokazo China kwenda Marekani sasa ni 145%.

Kiwango cha kodi za bidhaa zitokazo Marekani kwenda China ni 84%.

Naona Mchina kashindwa kwenda sambamba Mnyamwezi 🤣.

Nyie Wachina wa Kiuruwi na Tabata Sanene kujeni hapa mtoe maelezo [visingizio] yenu ni kwa nini mmeshindwa kula sahani moja na Trump.

145% dhidi ya 84% hakuna kabisa uwiano wala ukaribu wowote ule.

Mnazidi kuthibitisha kuwa ngoma nzito nzito hamziwezi. Mnachoweza ni ujanja ujanja na ulaghai tu.

Hata bidhaa zinazouzwa Temu, kwa mfano, ubora wake ni wa mashaka sana.

Nunua nguo toka Temu halafu ifue uone itavyobadilika 🤣.

Sijui kwa nini tu Wachina wako hivyo.

Ndo maana mimi siwawmini kabisa watu wanavyodai kuwa jeshi la China sasa hivi ndo jeshi la pili kwa ubora duniani.
mbona mchina ashapandisha hadi 125%

stay updated, the game is on!

China Bomaye
 
China kaiweka kimahesabu hapo ili stock yake iendelee kuuzika maana yeye ndio ana stock kubwa kuzidi USA, kwa level yako nlidhan ungeweza kung'amua hilo.

Trump anaenda enda tu hajielewi, mchina anaenda strategicaly.

China Bomaye!
Hakuna mahesabu yoyote hapo.

Ukweli ni kwamba hawezi kwenda pasu kwa pasu na Marekani.
 
Shida ni kwamba unataka China ifanye mambo kukufurahisha wewe kama afanyavyo Trump mwisho wa siku utasema kwa nini Xi Jinping atweet sana na kuongea ongea kama afanyavyo Trump toka tarrifs war imeanza
Okay.
 
Niumie kwa sababu gani ? washindwe kuumia wakina Xi Jinping huko nije niumie mimi kwa vita visivyo nihusu una matatizo wewe.

Una ushabiki wa kitoto
Maumivu yakizidi muone daktari.
 
Back
Top Bottom