Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,071
- 136,469
- Thread starter
- #61
Una kiwango gani cha elimu wewe?Shida watu wanaongea tu kishabiki ila awajui kuwa hapo Trump anawamaliza wananchi wake na kuzidi kupandisha uchumi wa china.
Una kiwango gani cha elimu wewe?Shida watu wanaongea tu kishabiki ila awajui kuwa hapo Trump anawamaliza wananchi wake na kuzidi kupandisha uchumi wa china.
Ni kweli kuwa kadirio la 438bl usd USA import kutoka China na ku expprt 150bl hii ina maana kuturn mara moja kwa USA ataumia yeye zaidi kwani China ina import zaidi soya, petroleum product wakati aki pokea vifaa vya viwandani, nguo, nk. Je alijopanga kabla ya Trump. Ataathirika tuAcha coment ya kipumbavu mkuu, africa ni nchi maskini hazina potential ya maana kwa china. Potential market ya china ni USA
125% sio 84dhidi ya 84%
Okay, 125% dhidi ya ngapi?125% sio 84
Wewe umeweka ngapi?Okay, 125% dhidi ya ngapi?
Nimeweka niliyoweka. Hujaiona?Wewe umeweka ngapi?
Ndio 134%Nimeweka niliyoweka. Hujaiona?
Kama USA ana utegemezi wa Almost 500bl dollars na China anategemea just 150 nani mhitaji kwa mwenzake?. Hadi sasa kuwa na gari wa Tz ni anasa kwa sababu imewekewa kodi kubwa wakati huo tunategemea kutoka nje na hatuna viwanda vya kuzalisha magari,Duh humu watu wanatuaminisha china ana soko sehemu kubwa Africa,us hawezi mbabaisha😂
Kama Trumo lilivyokuwa na utoto mwingi, anacheza kidali poo....pumbavu kabisa hiliNiumie kwa sababu gani ? washindwe kuumia wakina Xi Jinping huko nije niumie mimi kwa vita visivyo nihusu una matatizo wewe.
Una ushabiki wa kitoto
Umeitoa wapi hiyo 134..Ndio 134%
Humu humu itafute utaionaUmeitoa wapi hiyo 134..
Kiwango cha kodi za bidhaa zitokazo China kwenda Marekani sasa ni 145%.
Kiwango cha kodi za bidhaa zitokazo Marekani kwenda China ni 84%.
Naona Mchina kashindwa kwenda sambamba Mnyamwezi 🤣.
Nyie Wachina wa Kiuruwi na Tabata Sanene kujeni hapa mtoe maelezo [visingizio] yenu ni kwa nini mmeshindwa kula sahani moja na Trump.
145% dhidi ya 84% hakuna kabisa uwiano wala ukaribu wowote ule.
Mnazidi kuthibitisha kuwa ngoma nzito nzito hamziwezi. Mnachoweza ni ujanja ujanja na ulaghai tu.
Hata bidhaa zinazouzwa Temu, kwa mfano, ubora wake ni wa mashaka sana.
Nunua nguo toka Temu halafu ifue uone itavyobadilika 🤣.
Sijui kwa nini tu Wachina wako hivyo.
Ndo maana mimi siwawmini kabisa watu wanavyodai kuwa jeshi la China sasa hivi ndo jeshi la pili kwa ubora duniani.
Nimekubali. Ila hebu tutafakari kidogo, hivi huko China , Russia, Marekani na Ulaya kuna wananchi wanaishobokea Tanzania huko kwenye mitandao ya kijamii na kuguswa kabisa kama mimi Mchina wa Hong Kong ya Chanika au Mnazareti wa KitundaWewe unapo ipromote China unakuwa ni mswahili wa Hong Kong
Sio tu wote mpaka serikali yote ningekuwa na uwezo ningewahamishia hapa kwa mwaka wajifunze vitu vinafanyaje kaz. Tuache ushabiki ndezi na kulaumuMkuu kwahiyo wote tuje china? Duh we tuwakilishe tu
Wamarekani wa bunyokwa..angekua labda Mo dewji au gsm au bakresa wanapayuka ningewaelewaBro, Easter hiyo, then watoto wanarudi baada ya hapo, tunakaa na Familia then wanarudi shule...
Do you have any business na China/ USA ya kukuingizia Kipato au is just ample time and interests?
These are world giants, they can mind their own business, and we focus on our problems!
No disrespect, but naona tu kama hulali una deal na watu ambao hawana msaada/impact kwetu.
Naona wamejaribu kuivuta kidogo!Naona Mchina kashindwa kwenda sambamba Mnyamwezi