China; Mshirika Mkuu Ajaye katika Vita dhidi ya Ugaidi

China; Mshirika Mkuu Ajaye katika Vita dhidi ya Ugaidi

Spain ilikuwa conquered ilhali hakukuwa hata na Muislam Mmoja,sijui ikiwa umelifikiria ilo pia
Kitakwimu wazungu wamevamia na kukoloni nchi nyingi sana kuliko waislam/waarabu. Sasa ni ajabu kuona waislam ni threat kuliko wakristo/wazungu.

Hao wazungu wametawala nchi zaidi ya 200 hii dunia. Hao waislamu hawafikishi hata nchi 50 kwanini wawe threat?

Mfano wako wa Spain unasahau The Spanish Inquisition (1478–1834) utawala wa kikatili wa kikatoliki chini ya Ferdinand II na Isabella I. Hawa waliua na kufunga watu zaidi ya laki 3 kisa dini ila huoni wakatoliki walikua threat kwa hispania kuliko waislamu?
 
Wachina wamesha- conquer Tibet, Xinjiang, and Inner Mongolia.
Wazungu historia iko wazi.
Waarabu wame- conquer zaidi ya Nchi 24.
Wayahudi wamevamia Nchi gani na kufosi kutawala ama kulazimisha Dini yao kando na kupigania Taifa lao la Asili?.
Kwanza taifa lao la asili umelitoa wapi? Kama ni Biblia basi wayahudi wametokea Iraq yaani Uru ya kaldayo na sio Israel ya sasa.

Kingine Israel imevamia Syria, Lebanon, Egypt, Jordan, iran, iraq, na sasa imevamia somalia kwa kutambua waasi wa somaliland ili tu waruhusiwe kujenga kambi. Pia inafadhili "magaidi" wa uturuki yaani PKK kutenga maeneo ya wakurdi. Bila kusahau imehodhi siasa za USA kupitia mabilioni ya AIPAC ambapo wagombea wanapewa pesa za kampeni kwa sharti la kuipambania Israel.

Na hata sijaongelea hujuma kibao walizofanya kwa nchi nyingi kama ujerumani, Russia n.k

Kuhusu dini, wao ni wabaguzi hawawezi kuchangamana so ili wakuhesabu myahudi wa kidini lazima uwe na vinasaba vya kiyahudi otherwise hata ukipractice Judaism unaonekana ni wakuja tu huruhusiwi hata kuzaa na wayahudi pure maana "utachafua" kizazi.
 
If that is truly the standard, then apply it consistently to everyone.
Those people whom you call “wapalestina” aren’t indigenous as well.

2* China has bult an oversea base in Djouti.
Russia,US have also done the same thing.
why Israel ikifanya hivyo imekuwa Nongwa?
 
Kitakwimu wazungu wamevamia na kukoloni nchi nyingi sana kuliko waislam/waarabu. Sasa ni ajabu kuona waislam ni threat kuliko wakristo/wazungu.

Hao wazungu wametawala nchi zaidi ya 200 hii dunia. Hao waislamu hawafikishi hata nchi 50 kwanini wawe threat?

Mfano wako wa Spain unasahau The Spanish Inquisition (1478–1834) utawala wa kikatili wa kikatoliki chini ya Ferdinand II na Isabella I. Hawa waliua na kufunga watu zaidi ya laki 3 kisa dini ila huoni wakatoliki walikua threat kwa hispania kuliko waislamu?
We Jamaa ni mjuzi wa kuongea sana ila husemi kitu:
una twist mambo ili uonekane upo sahihi.
Ni hivi; Mimi nilisema kwamba” Uchache wa Waislam katika kundi lolote lile si jambo la ku- trivialize.. Spain iliwai kuvamiwa na kutawaliwa kwa nguvu ilhali Spain ilikuwa haina hata Muislam mmoja”.
Sasa hayo mengine ya alina King Masanyiwa sijui nani nani..yanatoka wapi?
 
Sasa unafahamu islamic state ilianzishwa na kufadhiliwa na USA? Na hata walioimaliza ISIS ni wapiganaji wa kikurdi (SDF, YPG) na Washia (Hezbollah, IRGC na Popular mobilisation). Maana yake kama tatizo ni waislam kivipi ISIS wamalizwe na waislam wenzio? Hujui kuwa Israel na USA ilikua inawapa silaha na mafunzo ISIS ili wapambane na majeshi ya Iran (IRGC) na hatimaye kumpindua Al Assad wa Syria.
Sio kweli kwamba ISIS ilianzishwa na kufadhiliwa na USA, ISIS ni ofshot ya kikundi cha Alqaeda, na iliweza kukua kutokana na kusambaratika kwa serikali ya SADDAM HUSSEIN ,kuondoka kwa majeshi ya Marekani chini Iraq, uhasama uliopo baina ya waislamu wa madhehebu ya wa sunni na wa shia , pamoja na vita vya Syria.Ndiyo maana asilimia kubwa ya vikundi vyote vilivyokuwa mstari wa mbele kupambana na ISIS viliundwa na wapiganaji wa Kishia na watu ambao waliona ISIS (SUNNI) KUWA tishio kwao.
Nikukumbushe pia kwamba vikundi vyote hivyo ulivyotaja vilisaidiwa na Marekani na washirika wake kwa kupewa silaha, taarifa za ki intellijensia,mafunzo ya kijeshi na pia NATO ilishiriki moja kwa moja vitani kwa opareshenei za kivita kutokea angani.
 
... kasome Bhagavad Gita ya Wahindi halafu urudi hapa! ... dini nyingi ziliundwa wakati makabila husika yakiwa kwenye vita nyingi za kujilinda na kujipanua na hivyo hakuna ambao wameacha kipengele cha 'UMWAGAJI DAMU' katika maandishi yao!
Walikuwa wanatafuta defense mechanism dahh !!! Dini ni mchongo mtupu
 
Ule utabiri wa Vaga kwamba uislamu utatawala ,unawanyima usingizi .. Waislamu hawajwahi kuwahofia wagalatia wala wengine ile nyie kwa uoga.

Mnaenda nchi za kiislamu na kulazimisha kuuzwe pombe kwa ajili yenu ,sasa mmeshapewa hizo sehemu bado mnsambaza tamaduni zenu ..Tulieni nanyi muonje kaa la moto.
 
Sio kweli kwamba ISIS ilianzishwa na kufadhiliwa na USA, ISIS ni ofshot ya kikundi cha Alqaeda,
Mkuu katafiti vizuri, uvamizi wa USSR huko Afghanistan ulifanya US isupport mujahideen ambao walikua trained na kupewa silaha na USA. From there ndio ikatokea taleban na Osama hivyo kuzaa Al Qaeda. Kwahiyo NDIO hao US ndio walianzisha Al Qaeda.

Sasa Al Qaeda hiyo hiyo ikazaa offshoot ya ISIS ambapo nao walipewa silaha na support na US/Israel ili kupambana na shia insurgency hasa Iran, Hezbollah na kupindua utawala wa Al Assad. Soma hapa

Na aliyekua kiongozi wa hiyo Al qaeda ya Syria ni Rais wa Sasa wa Syria yaani Al sharaa ambaye nimekuwekea video ambapo Trump anakiri USA ndio imemuweka madarakani hapo Syria
So literally US imeanzisha Mujahideen, Taleban, ISIS, Al qaeda kwa hiyo chain niliyoeleza.

Kasome kuhusu ushiriki wa USA kupitia CIA kwenye vita ya USSR dhidi ya Afghanistan.

Seeing the situation in Afghanistan as an extension of the Cold War, the US supported the Mujahideen against their old enemy, the USSR, and refused to sign SALT II
Source: BBC
 
na iliweza kukua kutokana na kusambaratika kwa serikali ya SADDAM HUSSEIN ,kuondoka kwa majeshi ya Marekani chini Iraq, uhasama uliopo baina ya waislamu wa madhehebu ya wa sunni na wa shia , pamoja na vita vya Syria.
Mkuu swali moja tu la kujiuliza, hizo pesa za silaha, pesa ya recruitment (kumbuka walipata askari kutoka dunia nzima), mishahara, intelijensia n.k waliitoa wapi?

Upande wa shia ipo wazi Iran ilitoa fedha kusaidia Hezbollah na popular mobilisation front. Swali rahisi tu kwako nani alikua mfadhili wa ISIS kufikia stage ya kuteka 70 ya Iraq na Syria?
 
IMG_0251.jpeg

Waliotengeneza vikundi vya kwanza vya Kiislam vya itikadi kali kina Mujahideen, Al Qaeda, ISIS nk walikuwa very smart kujua kuwa itakuwa rahisi sana kuwapumbaza watu kama wewe watahisi ni vikundi vya waislam wa itikadi kali na sio strategic terrorist groups.

Ipo speech ya Hillary akielezea vyema how those groups were created and to serve who’s interests.

You have been brainwashed.

Na pia you sound as Anti-China. Unashindwa kuelewa mfumo wa China sio sawa na Mfumo wa Marekani.
 
If that is truly the standard, then apply it consistently to everyone.
Those people whom you call “wapalestina” aren’t indigenous as well.
Ndio kila nchi duniani sio asili ya walipo sasa, hata palestinians walitokea mahali pengine.

Sema ki DNA zaidi Wapalestina wana vinasaba na ancient canaanites ambao walikuwepo Palestine kabla ya wayahudi kufika hapo.

So wa kwanza kufika nadhani jibu liko wazi. Kwa logic zote Israel hana umiliki wa Palestine. Kama issue ni Bible taifa alilopewa Abraham kiramani ina maeneo ya Saudi Arabia, Iraq, Syria, misri n.k kwanini Israel isidai eneo hilo ila inapambania Palestine pekee? Na taifa lote hilo alipewa Abraham ambaye hakua myahudi sasa kwanini wajukuu wachache tu wa Abraham ndio wajimilikishe?
 
China has bult an oversea base in Djouti.
Russia,US have also done the same thing.
why Israel ikifanya hivyo imekuwa Nongwa?
Hao wamefanya kwenye independent country ya Djibouti tatizo la Israel limeenda eneo la waasi (secessionist) yaani somaliland. Mfano leo kagera ijitenge na Tanzania kinyume na utaratibu alafu Kenya ikaweke kambi ya jeshi kagera itakua fair? Si itakua inachochea mgawanyiko.

Kwanini wasiweke kambi somalia waende kwa waasi? Ingefanya hivyo Iran si mngesema inafadhili ugaidi.
 
We Jamaa ni mjuzi wa kuongea sana ila husemi kitu:
una twist mambo ili uonekane upo sahihi.
Ni hivi; Mimi nilisema kwamba” Uchache wa Waislam katika kundi lolote lile si jambo la ku- trivialize.. Spain iliwai kuvamiwa na kutawaliwa kwa nguvu ilhali Spain ilikuwa haina hata Muislam mmoja”.
Sasa hayo mengine ya alina King Masanyiwa sijui nani nani..yanatoka wapi?
Maana yangu ni kwamba uvamizi wa waislam haukua na madhara kuliko uvamizi wa kikatoliki au maarufu kama Spanish inquisition. Sasa cha ajabu huoni wakatoliki walikua hatari kwa Spain kuliko uvamizi wa waislam?

Ni sawa na mtu aseme Sisimizi ni tishio kwa uhai wa binadamu kuliko simba!!
 
Kwa muda mrefu Marekani pamoja na Washirika wake wa Ulaya magharibi ndiyo walikua viranja wa dunia.Yapo mengi mazuri walifanya katika nyanja za demokrasia na utetezi wa haki za binadamu,
na mengi ya hovyo pia kama uporaji wa rasilimali na kuchochea vita maneneo mbali mbali duniani kwa manufaa yao wenyewe.

Lakini , jambo moja ambalo naamini wengi mtakubaliana na mimi ni kwamba adui nambari moja wa amani duniani ni Uislamu wa itikadi kali.Katika hili nawapongeza sana wamerekani na jamaa zao wa ulaya kwa jitihada walizoweka kupambana na ugaidi. Kadhalika,nasikitika na ninajawa na hofu kubwa nini itakua hatma ya dunia na hasa watu wasiokua waislamu kutokana na namna uslamu unavyoshika kasi na kujipenyeza katika jamii na siasa za mataifa ya magharibi.

Wimbi hili la uvamizi na utekwaji wa kisiasa na kijamii limesambaa kwa kasi katika mataifa karibu yote barani ulaya,yenye nguvu za kiuchumi,Kijeshi na kiushawishi ikiwemo Uingereza,Ujerumani,Italy,France n.k
Marekani nayo haijaachwa salama,idadi ya waislamu katika jamii na serikali ya Marekani inaongezeka kwa kasi kutokana tamaa za madaraka na rushwa katika chama cha Democratic Party,chama ambacho kinatumia uhamiaji haramu kama mtaji wa kisiasa kujipatia kura za "Ahsante kwa kuniruhusu kuingia".

Hali hii inazidi kuwa ya kuogofya ukizingatia kwamba Jamii za wazungu zina kiwango cha chini sana cha kuzaliana(wastani wa watoto 1-2), ukilinganisha na waislamu wavamizi ambao kwa wastani huzaa watoto 4-5.Kwa mwenendo huu wa kuzaliana , si punde waislamu watakuwa wengi kuliko wazawa wa bara la Ulaya na Marekani.

Nawaachia tafakuri hii, Tunajua dhahiri kwamba uislam ni dini inayowataka wafuasi wake kuua au kuwafanya watumwa watu wote wasio waislamu.Itakapofika hatua uislam umeiteka magharibi katika jamii na siasa , Wasio waislamu watakimbilia wapi?

Mimi binafsi naamini mkombozi tuliyebaki nae ni China,Pamoja na kuwa China ina rekodi mbaya katika utetezi wa demokrasia ,China ni moja ya nchi zinazopinga vikali uislamu na imechukua hatua kali za kuzuia usisambae chini mwao.Naamini China itakuja kuwa mstari wa mbili katika mapambano dhidi ya ugaidi Marekani na washirika wake watakapokua wametekwa na UISLAMU.
Umeandika usenge mtupu, na hili ndio tatizo la ulokole mavi, unalopolopo bila ushahidi sababu fuvu limejaa mavi
 
Umeandika usenge mtupu, na hili ndio tatizo la ulokole mavi, unalopolopo bila ushahidi sababu fuvu limejaa mavi
Punguza hasira kaka, mijadala hii ni ya intellectuals, huoni wenzako wanapingana kwa hoja na sio matusi.
 
Torati ya wayahudi ni katili zaidi kuliko Qur'an. Kama tunaamua kuawahukumu watu kwa kupitia vitabu vyao basi dini zote za Abrahamic ziwe batili.. wote tuwe ma Buddha. Mtoa mada kaandika kwa mihemko na chuki.
Vitabu ni kitu kimoja na matendo halisi ya watu wake ni jambo lingine.Tuwe wakweli katika hilo la wauaji wanaojinasibisha na dini.Tuache utetezi uchwara.Kuna watu ni wauaji wa asubuhi,mchana na usiku.Muda wote wao ni uuaji tu.
 
Torati ya wayahudi ni katili zaidi kuliko Qur'an. Kama tunaamua kuawahukumu watu kwa kupitia vitabu vyao basi dini zote za Abrahamic ziwe batili.. wote tuwe ma Buddha. Mtoa mada kaandika kwa mihemko na chuki.
Ushaona sehemu waisrael wanahangaika kuwalazimisha watu wengine wawe wayahudi??
Ushaona wanavamia nchi nyingine kushika dola au kuwafanya wayahudi
Wao dini yao n yao tu hawalazimishi mtu wala kwenda nchi nyingine kwa ajili ya kuwabadili watu
 
Back
Top Bottom