superpower

A superpower is a state with a dominant position characterized by its extensive ability to exert influence or project power on a global scale. This is done through the combined means of economic, military, technological, political and cultural strength as well as diplomatic and soft power influence. Traditionally, superpowers are preeminent among the great powers.
The term was first applied in 1944 during World War II to the United States, Britain, and the Soviet Union. During the Cold War, the British Empire dissolved, leaving the United States and the Soviet Union to dominate world affairs. At the end of the Cold War and the dissolution of the Soviet Union in 1991, the United States became the world's sole superpower.

View More On Wikipedia.org
  1. E

    JamiiForums Tanzania China; Mshirika Mkuu Ajaye katika Vita dhidi ya Ugaidi

    Kwa muda mrefu Marekani pamoja na Washirika wake wa Ulaya magharibi ndiyo walikua viranja wa dunia.Yapo mengi mazuri walifanya katika nyanja za demokrasia na utetezi wa haki za binadamu, na mengi ya hovyo pia kama uporaji wa rasilimali na kuchochea vita maneneo mbali mbali duniani kwa manufaa...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania “Pepsi Yageuka Superpower: Ilivyokuwa na Jeshi Kubwa Kuliko Mataifa Madogo!”

    Katika miaka ya 1980, Urusi (wakati huo ikiwa sehemu ya Umoja wa Kisovieti) ilifikia makubaliano ya kipekee na PepsiCo kwa sababu ya matatizo ya kigeni ya kubadilisha fedha (foreign exchange restrictions). Umoja wa Kisovieti haukuwa na upatikanaji rahisi wa dola za Kimarekani kwa ajili ya...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Nyambizi ya Superpower Urusi “Kursk“ mwaka 2000

    Mnamo tarehe 12 Agosti 2000, nyambizi ya K-141 Kursk, nyambizi ya manowari ya Kirusi ya darasa la Oscar II, ilizama katika Bahari ya Barents, na kuua watu wote 118 waliokuwemo ndani. Ajali hiyo ilisababishwa na hitilafu katika torpedo ya aina ya 65-76, ambayo ilisababisha mlipuko mkubwa ndani...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Waliocheka, Walionuna na Waliolia baada superpower kubadili muelekeo.

    Uchaguzi wa Marekani ndio mkubwa zaidi duniani, kila kona ya dunia wanaufuatilia, uwe unaipenda au unaichukia Marekani. Kwa matokeo haya ya Trump kushinda 1.Democrats wamelia kilio cha maombolezo, ushindi uliokuwa ukitegemewa umeyuyuka, wameshindwa kwa kishindo. 2.NATO na Umoja wa Ulaya...
  5. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Superpower Urusi kuanza Mazoezi ya Silaha za Nyuklia

    Urusi imeitaarifu US kuwa wanatarajia kuanza mazoezi ya Nyuklia ya mwaka. Hili linakuja kipindi hiki ambacho NATO nao wanafanya Nuclear Drills huko ULAYA. Hajaitaarifu nchi yeyote zaidi ya USA . It seems kuwa hawa tu ndo wa wanaheshimiana na kuogopana, wengine wote Mbuzi. Hii vita ni Washington...
  6. S

    JamiiForums Tanzania 'SuperPower' alalamika 'njaa': Ikulu 'nyeupe' yaitisha kongamano rasmi kujadili namna ya kupambana na adui mpya 'njaa' anayelitafuna taifa

    Duh...kweli adui yako mwombee njaaa! Hivi kweli 'SuperPower' wetu kafikia hatua ya kulialia njaa?! Hadi Ikulu 'kubwa' kuitisha kongamano rasmi la kujadili namna ya kupigana vita na adui mpya 'njaa' anayesumbua taifa teule! Kweli maajabu hayaishi dunia hii. Asante sana Urusi kumvua nguo Super...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nimebaini Watanzania ni Vinara wa mambo haya

    NIMEBAINI WATANZANIA NI VINARA(SUPERPOWER) WA MAMBO HAYA; Anaandika Robert Heriel. Kwa wasomi wa somo la Historia watakubaliana nami kuwa hapa Duniani kuna mataifa ni superpower na yapo yalikuwa hivyo. Mpaka sasa taifa la Marekani ndio superpower wa Dunia yetu huku taifa la Uchina likimpa...
  8. jollyman91

    JamiiForums Tanzania President Raeisi packs quite a punch in debut UNGA speech

    By Syed Zafar Mehdi President Ebrahim Raeisi's maiden address to the UN General Assembly on Tuesday evening packed a powerful punch, unlike anything seen before, reaffirming his reputation as a no-nonsense international leader and statesman who means business. Iranian president’s speech...
Back
Top Bottom