Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,595
Huo mwezi wao utakua umbali gani kutoka duniani?
Je utakua unalizunguka dunia kwa muda gani? Positioning yake kati ya jua na mwezi itakuwaje?
Je utakua unalizunguka dunia kwa muda gani? Positioning yake kati ya jua na mwezi itakuwaje?
Nchi ya China imesema mpango wake wa kutumia mwezi wake binafsi (Chinese's moon) 🌕
Mpango wa China kuanza kutengeneza mwezi wake binafsi ushaanza na China inategemea mwezi huo utakamilika mwaka 2022.
Ifikapo mwaka 2022 china itaanza kutumia mwezi wake ambao utakuwa na mwanga mara 8 zaidi ya mwezi asilia iliyopo
Pia china lengo lao ni kutengeneza jumla miwili ili waje kutumia zaidi ya mwezi mmoja.
Tegemea technologia ya mwezi mpya katika Taifa la china kuanzia mwaka 2022.
View attachment 1840507