Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,036
- 20,337
- Thread starter
- #121
Mkui asante Kwa maelezo yako.Mwezi ndio unaleta kupwa kwa maji. Inasadikiwa ipo km 250000 toaka ardhini. Kama mwezi huh tulionao ungesogea km 50000 tu basi maji ya bahari ya tafunika maabara yote na ulimwengu uhai unafutika maana vuimbe nchi kavu watakosa jews ya kuvuta. Sasa fikiria china aunde mwezi wake, kwanza huo udongo wa kuunda mwezi nzima anaupata wapi? .Na atauweka umbali gani ili usilete athari ya mvutano na Dunia maji yakameza mabara yote. Sema anaunda kitu chenye mwanga zaidi ya mwezi lakini sio mwezi. Sayansi inagoma kuunda kitu chenye uzito wa mwezi jingine huko angani . Kiite jina jingine lakini sio mwezi huh ulioumbwa na mola.
Hivyo huenda kweli china wanatengezena kitu kama mwezi ila si meezi bali ni kurunzi