China kuanza kutumia Mwezi wake

Kwa nini usikubali tu hujui kitu NASA ndo inamonitor mwendo wa dunia ,kwa hiyo nasa ndo inamonitor aerospace za urusi na na china ,

Utoto Mwingi Sana wewe MBWEHA ,Hivi unajua Aerospace? Kujua Ku Google nawe unajifanya mtaalam? :D :D :D :D nyinyi ndio shule mlikuwa mnajifanya wajuaji wa madesa halafu mtaani mmepigika na madesa yenu kichwani.....Narudia kusema tena ka google majukumu ya NASA utoe tongo tongo za kukariri.
 
Hamna mtu mshenzi km mchina, wahamie huko kwenye mwezi tu.
Wameleta balaa hizi sindano chanjo tunatandikwa saa hii dunia nzima.
Hawa mbuzi wanatakiwa wawe na dunia yao.
Washanilisha konokono,mijusi na minyoo bila kujua.
Nimesamehe ila hunikuti tena, chinese restaurant unaweza kula hata nyama ya mtu.
 
Utoto Mwingi Sana wewe MBWEHA ,Hivi unajua Aerospace? Kujua Ku Google nawe unajifanya mtaalam? :D :D :D :D nyinyi ndio shule mlikuwa mnajifanya wajuaji wa madesa halafu mtaani mmepigika na madesu yenu kichwani.....Narudia kusema tena ka google majukumu ya NASA utoe tongo tongo za kukariri.
Wew kichwani umejaa matope kweli NASA ni agency ya marekani inakuwaje unaihusiha na taifa lingine, halafu usinifananishe na wew ,naweza kukuweka nadani na ukoo wako wote, Mkala na kusaza
 
Bora mie matope wewe kimejaa "VIMA" ,kwani NASA ikiwa Agency ya US ndio inazuia kumonitor UFO? Wewe kweli kichwa Maji ,unazidi kujionyesha ulivyo Kichwa BOX.

Mara nyingi watu wanaodandia treni kwa mbele(Kujifanya wajuaji) wanakuwa na stress za kupigika! Mtu mwenye maisha hawezi kupayuka kama wewe BOYA!! Wewe mwenyewe fedha ya kula tu inakushinda ndio uhudumie Ukoo? Tafute Fedha wewe MBWEHA hasira zikutoke.
 
Wanataka kuuza bizaa kama Mungu aliyo toa bure

Wachina kwenye teknolojia nawakubali sana, hususan kwenye ujenzi, vitendea kazi, usafiri n.k..in short nawanyooshea mkono hawa super power, hadi western countries wanawapiga vita...ila kwa hili la mwezi wanakosea sana na wanamkosea Mungu, siwasapoti aise!
 
Bora mie matope wewe kimejaa "VIMA" ,kwani NASA ikiwa Agency ya US ndio inazuia kumonitor UFO? Wewe kweli kichwa Maji ,unazidi kujionyesha ulivyo Kichwa BOX.

Mara nyingi watu wanaodandia treni kwa mbele(Kujifanya wajuaji) wanakuwa na stress za kupigika! Mtu mwenye maisha hawezi kupayuka kama wewe BOYA!! Wewe mwenyewe fedha ya kula tu inakushinda ndio uhudumie Ukoo? Tafute Fedha wewe MBWEHA hasira zikutoke.
Wew ndo kiaza unatumia nguvu nyingi kutukana ukiwa nyuma ya keyboard
 
Wachina kwenye teknolojia nawakubali sana, hususan kwenye ujenzi, vitendea kazi, usafiri n.k..in short nawanyooshea mkono hawa super power, hadi western countries wanawapiga vita...ila kwa hili la mwezi wanakosea sana na wanamkosea Mungu, siwasapoti aise!
Hapo naona wanafanya kitu kitakacho wasaidia kupata watalii wengi kwenda kuangalia mwezi wa kutengenezwa.
 
Hamna mtu mshenzi km mchina, wahamie huko kwenye mwezi tu.
Wameleta balaa hizi sindano chanjo tunatandikwa saa hii dunia nzima.
Hawa mbuzi wanatakiwa wawe na dunia yao.
Washanilisha konokono,mijusi na minyoo bila kujua.
Nimesamehe ila hunikuti tena, chinese restaurant unaweza kula hata nyama ya mtu.
Wapo kasi na techlogia hadi wanakula vitu ambavyo huku ni vyaajabu
 
Back
Top Bottom