Chimbuko la maneno haya ni nini?

Chimbuko la maneno haya ni nini?

Hakunaga ushemeji tunakulaga

Shemeji kanunua pastora ngoja nimpende dada yake

WAUNGURUMA

WAILIPUA

KIMENUKA

WAIBANA

WAJILIPUA

AMLIPUA

Yote yapo kwenye kamusi ya BaKITA waliochukia page 66
Naniliuu.
 
1789382635277.png
 
Kuanzia leo mmeungana kuwa mwili mmoja; mshikamane katika shida na raha, katika umasikini na utajiri, katika magonjwa na afya. Mpendane, mheshimiane na msiachane. Mungu aibariki ndoa yenu na awape nguvu ya kusimama pamoja katika kila hali.”
 
Leo umeacha familia yako na kuungana na mume wako, lakini kumbuka upendo na uhusiano na ndugu zako bado upo. Jengeni nyumba yenu kwa upendo, heshima na uvumilivu. Mungu awabariki na kuwalinda katika safari yenu mpya
 
Haki ya mwanamke na maneno makali anayoambiwa wakati anaolewa ni haki?

Back
Top Bottom