Chid Benzi kawa kama zamani big up kwake

Chid Benzi kawa kama zamani big up kwake

Amenenepa sana ,kama siyo AI basi Mungu mkubwa!

"Napata heshima ,mafans wa kila aina silii njaa nipo peace linanilinda jina".

"Tanzaniaaa ,Tanzaniaa wowowowoooo classmate hahaahaaaa Lamah yeah King Kong King Kong king Kong La La La La Familiaaaaaaaa"

"Watu mashabiki wamekubali siyo kwa uchawi wala ndumba bali ni kwa yangu mistari ,Mama mzazi amaenijalia dua zake niwe mbali napotaka mimi hata na yeye pia ,mimi ni mkali tight level zangu hawanifikiii" -Chuma

"Introduce Chid benz nikka turn your base la familiaaaa hahaaa ,chid flow yeah i'm flowing check navyoryme nawakata vilimilimili chid gooo yeah i'm going na speed kali nawaacha nyuma bado nakimbiza mimi".
 
Hongera sana Chid Benz. Hakuna linaloshindikana.
Chid, Agrey, Ray C ni uthibitisho.
 
Sio kwa madawa ya kulevya tu, hadi nyeto na kila aina ya ulevi..
Hivi vitu vinatupunguza akili ndo mana hatuendelei.
Nyeto haina madhara makubwa ukilinganisha na madawa ya kulevya!

Matumizi ya madawa ya kulevya humuondolea mtumiaji Utashi na kumfanya ashindwe kujielewa kwenye Kila alifanyalo
 
aache kuweka focus zake sana juu ya muziki wamsaidie afanye mambo mengine ndani ya muziki sio lazima aimbe kwa maana stress za ngoma kutokwenda kwa namna ile ambayo alizoea zikimvaa tena lazima ajikute amerudi tena alikotoka.
Wasanii wanashindwa kuna maisha nje Music tena safi sio kulazimisha wakati mda hauko upande wako
 
Wasanii wanashindwa kuna maisha nje Music tena safi sio kulazimisha wakati mda hauko upande wako
Mazoea, kuna aina fulani ya maisha kama ulizoea kuyaishi halafu hayo hayo maisha yakakulazimisha usiyaishi hayo maisha tena huwa mara nyingi ni ngumu kukubalina na hali kiwepesi.
 
Kuna watu mioyo ya ajabu sana....inakuwa ngumu kwao kukubali au kuona binadamu wenzao wanapiga hatua chanya kwenye maisha yao......jambo jepesi tu la kumtakia mtu kheri inaleta mjadala usio na tija......

Tunajua kuachana na uraibu haijawahi kuwa rahisi lakini tujifunze kuwatia moyo waliokuwa gizani wakirejea mwangani......

Kwanini waja tunafurahia kuwaona binadamu wenzetu wakiwa kwenye mazingira na hali mbaya za kiutu.....??
 
Chidi wa kwenye ngoma ya Nonini "kadhaa" remix ndio huyu sasa.
Achana na Chidi mwingine.
 
Back
Top Bottom