Chid Benzi kawa kama zamani big up kwake

Chid Benzi kawa kama zamani big up kwake

Chid alishaacha mara kadhaa lakini akarudia tena
Shida ni Stress Mzee, shida sio kuacha kuacha ni very simple ila watu wengi hamuelewi na hata mkieleweshwa hamuelewi tena na hapo ndipo stress zinaanza upya mtu anatumbukia tena mtoni kwenda kuvua kambale
 
Hoja ni ileile kuacha unga sio jambo rahisi, hilo ni pambano ambalo limeshaondoka na uhai wa wengi​
 
Nimefurahi kuona afya yake imezidi kuimarika kiasi hicho

Vijana wajifunze kusema hapana Kwa madawa ya kulevya
Sio kwa madawa ya kulevya tu, hadi nyeto na kila aina ya ulevi..
Hivi vitu vinatupunguza akili ndo mana hatuendelei.
 
Back
Top Bottom