Chid Benzi kawa kama zamani big up kwake

Chid Benzi kawa kama zamani big up kwake

Papillon 1906

Senior Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
199
Reaction score
677
Watanzania wafarijika baada ya kuona muonekano mpya wa chid benzi, you know what? GOD DID.

Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Chid Benz, aliyewahi kuwa mraibu wa dawa za kulevya, anatarajiwa kushiriki katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kupinga Biashara na Matumizi ya Dawa za Kulevya Duniani, yatakayofanyika jijini Dodoma tarehe 26 Juni 2026.
 
Back
Top Bottom