Chezea wema sepetu....binti ndani ya mjengo

Status
Not open for further replies.
Tv=diamond,mapazia=mwinyi,sabufa=chazbaba,kitandana godoro=marehem, kabati na vyombo yake=pedeshe,kapet=chada.
Endelea na ww kwa unaowafaham

But in the end si ni ya kwake? Kwa raha zake...
Amejitahidi.. its a beautiful and amazing crib kwa kweli!
 
But in the end si ni ya kwake? Kwa raha zake...
Amejitahidi.. its a beautiful and amazing crib kwa kweli![/QUO

Hatuna hakika bado kama ni yake kabla hatujapongeza,isijekuwa alikuwa anigizia pale,,juzi kavishwa pete jukwaani tena watu wakadhani real baadae wanajulishwa ni ktk kamilisha filamu yake, Wasanii sio watu!
 
ukweli utabaki pale pale kwamba wema amepiga hatua, hata kama amehongwa wangapi wanahongwa lakin hawajafikia kuhongwa nyumba?wanaishia chipsi mayai na kuku...... mama unastahili sifa! hata kama senator anasema kila mtu alihonga chake haijalishi umetumia njia gani mwisho wa siku tunaangalia umewin au lah
 
Last edited by a moderator:
Mmeanza mara kanunuliwa gari na familia kumbe kahongwa yamekuja ya nyumba. kwani mahela angeyafanyia nini.
 
nasubiria kwa hamu huyo mwinyi waachane nami niingize maguu uzuri wenyeww tunafahamiana tayari.
 
yaani makolokolo hata kwa Mganga kuna afadhali...
Na hilo lijoho alilolivaa na hiyo minywele alobandika yaani kama Tabitha bibi yake Timmy wa the Passion.
 
Wema sepetu akiwa ndani ya mjengo wake wa nguvu maeneo ya K'nyama. Anadai ni yake amenunua, mapambo tu yanagharimu zaidi ya milioni 50 za kitanzania. usikose kusikiliza kipindi cha take one clouds tv kwa mapana na marefu ya habari hii.

View attachment 56065View attachment 56066View attachment 56067View attachment 56068View attachment 56069View attachment 56070View attachment 56071View attachment 56072Hongera bi dada, haijalishi u meupataje lakin kikubwa na kustirika. Endelea kupata raha mwaya dunia yenyewe hii na maisha yenyewe mafupi.

Sasa waliokuwa wanasema oohh matanuzi wakati hana hata nyumba wafunge midomo. binti anajiandaa kufungua bonge la kampuni....... mie nakuombea tu heri wema wangu, usijensahau kwenye ufalme wako.

hivi wewee ufalme unaujuwa?
nyie ndio wale mnaomlazimisha Kuku anywe maji ya moto ili aje kutaga Yai la kuchemsha....

Toa ushuzi wako hapa
 
Wema sepetu akiwa ndani ya mjengo wake wa nguvu maeneo ya K'nyama. Anadai ni yake amenunua, mapambo tu yanagharimu zaidi ya milioni 50 za kitanzania. usikose kusikiliza kipindi cha take one clouds tv kwa mapana na marefu ya habari hii.

View attachment 56065View attachment 56066View attachment 56067View attachment 56068View attachment 56069View attachment 56070View attachment 56071View attachment 56072Hongera bi dada, haijalishi u meupataje lakin kikubwa na kustirika. Endelea kupata raha mwaya dunia yenyewe hii na maisha yenyewe mafupi.

Sasa waliokuwa wanasema oohh matanuzi wakati hana hata nyumba wafunge midomo. binti anajiandaa kufungua bonge la kampuni....... mie nakuombea tu heri wema wangu, usijensahau kwenye ufalme wako.
Sijui kwanini huwa nakuhisi wewe ni Zamaradi
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom