Chezea wema sepetu....binti ndani ya mjengo

Status
Not open for further replies.
Hata kama amevipata isivyo halali KWELI ????
dee dee haya kipi kinachokufanya ushangae! kwani mafisadi wangapi wamejaa kwenye chama cha machangu wanakula haramu na kujilimbikizia mali kwa njia zisizo halali! ila akifanya wema unatoa macho! muacheni ale vyake vya haramu, tafuta na wewe vyako vya haramu! hongera mwaya wema!
 
Last edited by a moderator:
Hongera lakini usije ukawa uliyempata ni mkenge kama alivyouvaa Jackie, maana matapeli ni wengi (eti nina biashara kumbe Unga)
 
Hongera lakini usije ukawa uliyempata ni mkenge kama alivyouvaa Jackie, maana matapeli ni wengi (eti nina biashara kumbe Unga)

shoga heri hata umemwambia mapema...kijua ndo hiki autoe, asipoutoa atakuja kuutwanga!mjini hapa milioni 400 sio mchezo
 
ZAmaradi kwa nn una mjibu Jokate hivyo, hivi mngekuwa mantumia majina yenu halisi ungesubutu kumjibu hivyo mwenzako

Manyema ha ha ha ha nimechekaaaaaaaaaaaaaaahhh.. ila Mrembo by Nature ni Zamaradi nae aje atueleze kisa cha kuzaa na rizi1..ila Gang Chomb ni mwanaume..dahh umemzodoa Zama
 
Tatizo la hawa ni vigumu kujuwa ni wakati gani wapo kwenye maigizo na ni wakati gani wapo kwenye Maisha Halisi, sintoshangaa nikisikia hiyo walifanyia shooting ya filamu mpya. maana bado nakumbuka vizuri ni Wema huyu alivalishwa pete Maisha Club tukaambiwa ile ilikuwa ni Filamu yake mpya. Hawa watu maisha yao ni usanii mtupu.
 
Duh! Nimebahatika kuiona hiyo crib ya wema ktk take one ya clouds tv, ni nzuri na imependeza sana!! Ila sasa naomba wadau mnisaidie kwa yeyote anayejua, utajiri huo wa bidada ni kwa kazi ya movies anazofanya au kuna shughuli nyingine, ipi hiyo? Inaweza ikawa funzo kwa wengine ili nao pia waweze kufanikiwa kama yeye. Msaada wajameni!!!!!
 
Ulitumwa kuchangia??we ndo utoe matapishi yako hapa, tena wewe huenda utakuwa jokate wewe....na bado utaisoma namba mwaka huu, wema ndo huyooooooooooooooooooooooooo anapepea utabakia kuingia internet cafe kuja kuweka comments zako hapa za chuki binafi
Mbona unajamba maputo!? unataka watu wote wagonge Like na kuunga mkono vitu vya kipuuzi? support hoja zako kwa kuweka source of income za Wema na siyo blah blah, hatutaki dada zetu wapate matatizo kama ya Kajala kwa ajili ya haya mashindano yenu ya kipuuzi kwa sifa za muda mfupi na kuharibu maisha yenu kwa miaka mingi ijayo.
 
Duh! Nimebahatika kuiona hiyo crib ya wema ktk take one ya clouds tv, ni nzuri na imependeza sana!! Ila sasa naomba wadau mnisaidie kwa yeyote anayejua, utajiri huo wa bidada ni kwa kazi ya movies anazofanya au kuna shughuli nyingine, ipi hiyo? Inaweza ikawa funzo kwa wengine ili nao pia waweze kufanikiwa kama yeye. Msaada wajameni!!!!!
Angalia movie ya Kinaigeria inaitwa Billionaires Club then utapata tabu ya kuwaelewa hawa ambao Janualy walikuwa hawana hata bajaj lakini leo wanaweza kumpa mtu millioni 15. hakuna pesa halali dunia hii inayopatikana kwa style hizo, only time will tell.
 
Angalia movie ya Kinaigeria inaitwa Billionaires Club then utapata tabu ya kuwaelewa hawa ambao Janualy walikuwa hawana hata bajaj lakini leo wanaweza kumpa mtu millioni 15. hakuna pesa halali dunia hii inayopatikana kwa style hizo, only time will tell.

Illuminati blood sacrifices & solstice sacrifices:
To become the wealthiest ($20million+ club) for a higher position and royalty from the elite, you need tomake a human (blood sacrifice). Watch this video. TheIlluminati have also sacrificed many celebrities as a human (solstice sacrifice). Watch this video.
BLOOD SACRIFICES FOR $ & FAME:
PART 1, PART 2.


  1. Kanye West - his mom.
  2. Lil Wayne - his father and Static Major
  3. Jay-Z - his nephew.
  4. Damon Dash - Aahliyah
  5. James Prince - Pimp C.
  6. T.I - his Cousin, Dolla
  7. Suge Knight - Tupac
  8. Diddy - Biggie Smalls
  9. Ludacris - Camouflage
  10. Lady Gaga - Lina Morgana
  11. Nicki Minaj - her cousin.
  12. Soulja Boy - his brother.
  13. The Game - Billboard
  14. Eminem - Proof.
  15. 50 Cent - Jam Master Jay
  16. Dr. Dre - Nate Dogg, his son.
  17. Krayzie Bone - Tombstone
  18. KRS-One - Scott La'Rock
  19. Alicia Keys - her friend.
  20. Bill Cosby - his son.
  21. John Travolta - his son.
  22. Eddie Levert - his son.
  23. John Travolta- his son.
  24. Marie Osmond - her son.
  25. Obama - his grandmother.
  26. Heidi Montag - Dr. Ryan
  27. Anna Nicole Smith - her son.
  28. Mary-Kate Olsen - Health Ledger.
  29. Jennifer Hudson - whole family.
  30. Wyclef Jean - his father.
  31. Michael Jordon - his father.
  32. Mike Tyson - his daughter.
  33. Liam Neeson - wife.
  34. Cam'ron - Big L
  35. Jim Jones - Stack Bundles
  36. Queen Latifah - her brother.
  37. Venus/Serena Williams - their sister.
  38. Jackson Family - Michael Jackson
  39. N-Dubz - Father/Uncle/Manager.
  40. Joseph Gordon-Levitt - his brother.
  41. Jesse Jackson - Martin Luther King Jr.
  42. Louis Farrakhan - Malcolm X
  43. Prince - his father.
  44. Jamie Foxx - his grandmother.



 
huyu demu ana mganga mkaaareee.... always shining.. no matter!!
 
Mbona unajamba maputo!? unataka watu wote wagonge Like na kuunga mkono vitu vya kipuuzi? support hoja zako kwa kuweka source of income za Wema na siyo blah blah, hatutaki dada zetu wapate matatizo kama ya Kajala kwa ajili ya haya mashindano yenu ya kipuuzi kwa sifa za muda mfupi na kuharibu maisha yenu kwa miaka mingi ijayo.

Kati ya Mimi na wewe anayejamba maputo ni nani? kazi yako ni kuangalia source za income za watu mjini hapa wewe za demu/mke wako umeangalia? hahaha kitoe kibanzi jichoni mwako ndo uangalie boriti kwa jicho la mwenzako. ukweli Wema amebamba ukilinganisha na age yake! mtabaki kutolea sababu mafanikio ya wenzenu mkibaki wasindikizaji katika haya maisha
 
Nilikuwa najiuliza Wema, mtoto wa balozi anatoa wapi tabia alizo nazo, jana ndo nimejua kaitoa kwa mamake baada ya kuangalia Take One....... mama mtu mzima anaongea mipasho ktk public utadhani hakuwahi kuwa mke wa diplomat (balozi)........., eti "meseji sent kwa Jacqueline Wolper kuwa Wema ana kwao na hii ndo nyumba yake na kitanda chake, si alijidai kusema kuwa atamnunulia wema kitanda atafute nyumba apangishe!!" sikuamini maneno hayo yanamtoka mke wa diplomat...
 
Jibaba limemnunulia. Ama kweli K**a ni mtaji mzuri.






Dah jamani bindamu wengine bana kwao hamna jema!!!!
ukikosa utachukiwa kwa kukosa na ukipata utachukiwa kwanini wewe upate!!! wivu tu....
hongera sana wema
 
"Like Mother Like Daughter"

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Yule mzee hana mke wala mtoto! Wacha watu washabikie um.a.l.ay.a classic! Maana huwezi kusema mtu ana nyumba ya 400M wakati yeye hana kazi yeyote. Bora kina odemba pamoja na yote ila wanapiga dili zao halafu kimya!
 
Kati ya Mimi na wewe anayejamba maputo ni nani? kazi yako ni kuangalia source za income za watu mjini hapa wewe za demu/mke wako umeangalia? hahaha kitoe kibanzi jichoni mwako ndo uangalie boriti kwa jicho la mwenzako. ukweli Wema amebamba ukilinganisha na age yake! mtabaki kutolea sababu mafanikio ya wenzenu mkibaki wasindikizaji katika haya maisha
Mtu mwenye akili mgando kama wewe huwezi kujuwa ni nini maana ya source of income maana hata umalaya wewe kwako ni kazi rasmi, na ukifika kwenye vitu professional na ukaambiwa lete bank statement yako for past six month ili cash flow yako ionekane ni lazima utaona unaonewa.

Ni kwa nini aonewe wivu Wema kwa lipi la ziada alilonalo, kama ni sifa ya uanamke hakuna mtu atakayekataa kwamba Wema siyo Mrembo ila usilazimisha watu wote wawe na mawazo rahirahisi kama wewe ambaye utadhani una ubongo wa kuku kwa kushabikia kitu ambacho hakiingii akilini, haya mambo ya kipuuzi leo hii ndio yanawacost Kajala na Lulu.
 
teh teh teh naona povu linakutoka kijana kisa umeambiwa hata demu wako hujui mapato yake....naona ukojoe ukalale huna jipya ndugu.
Mrembo by Nature kwanza kabisa mimi sina demu, si wanawake wote ni mademu, mademu ni wanawake wa same category na wewe unayedhani watu wapo hapa kutafuta Mrembo na ndio sababu ya kujipigia Promo za kipuuzi eti Mrembo by Nature na kutundika Avatar ya mwanamke mwenzako.

Narudia tena si watu wote wako hapa kusikiliza hoja dhaifu na mawazo mepesi mepesi ambayo hayana mashiko, Mwamvita Makamba hapa hapa tulioneshwa nyumba yake ya kisasa licha ya kuwa ni ya gharama karibu shilling millioni 800 lakini source of her income inamlinda dhidi ya kuhoji pesa yote hiyo amepata wapi, sembuse huyu Wema ambaye haeleweki hata shughuri anazofanya ambazo ni za kumpa vijisenti vya kujikimu tu?

Ukiwa na hoja nyepesi na dhaifu kama hizi Facebook ndio sehemu husika kwa wewe na mazuzu wenzako mtagongeana Like na kusifiana ujinga bila mtu kuhoji, hapa JF hakuna jambo lenye mashaka ambalo tutasita kuhoji eti kwa sababu nitaonekana nina wivu!! wivu for what kwa mtu ambaye anijui na wala simjui?
 
Last edited by a moderator:
Kama humjui Gang Chomba basi we sio mzawa wa Dar.
Nyie ndio wale mnaoshoboka kuwapamba mapedeshee ili mpate pesa ya kula.

Kabisa mtu na utimamu kichwani hawezi kuandika eti ''Wema unikumbuke ktk ufalme wako''..... Fanculo.

Kama maisha magumu rudisha mpira kwa Kipa, na sio kuanza kujikombakomba kwa watu.

Then hapa ni JF, nina uhuru wa kutia neno ktk thread yoyote ile, ''hiyo kauli yako eti ulitumwa uchangie'' nenda kawaambie waogea kopo wenzio Facebook mnaoogea sabuni ya kipande, hiyo hiyo unaogea, hiyo hiyo unafulia kichupi chako na hiyohiyo unaenda kusuuzia vibilauli na vibakuli unavyolia ugali na utumbo.

Uharo we
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom