Cheti cha Kuzaliwa kiwe na option ya 'single parent'

Cheti cha Kuzaliwa kiwe na option ya 'single parent'

Kiraia haiaminiki kuwa kuna mwanamke au mwanaume anaeamua kuishi mwenyewe miaka yote..... Lazima hata kama katofautiana na mwenzake kuna muda ataishi na mtu mwingine huyo ndio atachukua nafasi ya alieyeondoka.

Sasa umuandike kaka au baba yako sehemu ya jina la baba, yeye ndie aliekuwa anakupiga ukuni?!
Kama amebakwa afanyeje sasa?
 
Kwa maana hiyo tunaamini mtoto lazima awe na wazazi wawili .hawezi kulelewa au kuwa na single parent

Na ndicho hicho dada etu hapo juu anachokipinga ya nini kudanganya majina badala yake wangekitoa tu
Kwahiyo hizo mbegu watakazopandikizwa huwa hazina mwenyewe?! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Kuna maswali ya kujiuliza kwanza kabla ya kuleta huo uzi hapa.

1. Huyo mtoto ulipata mwenyewe kama bikira maria?!

2. Unajua sheria zinatungwaje?! Unadhani wanatumia hisia za mahaba au za hasira?!

3. Unahusishaje jazba zako za kimahusiano na malezi ya mtoto. Mtoto anahitaji baba yake awe anatoa pesa au hatoi. Kujua tu mimi baba yangu yule pale ni haki yake kikatiba. Wewe unataka kumfuta katika maisha yake kabisa.....unadhani utaweza?!

4. Kabla ya kupata nae mtoto ulijiridhisha kuwa ni mtu responsible wa kuweza kubeba majukumu ya malezi ya familia?! Then why unahangaika kutoa hukumu kwa upande m'moja wa mwenzako na wewe usijihukumu kwa kumpa nafasi bila kujiridhisha kuwa atafaa kuwa baba mtoto na mume kwako.
Itakuwa walionjana tu kitu kikatick, kumjulisha jamaa kachomoa! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijasema mtoto asimfahamu baba, Kama akiwa mkubwa 18+ na akauliza kuhusu baba yake ataonyeshwa na maamuzi ni yake kuweka ukaribu nae au la.

Naongelea haki za single parent wasiforciwe kuweka mtu kwenye cheti Cha kuzaliwa ambaye hana msaada. Kuwa baba si kuzalisha tu ni kuwa responsible hata kama hamko pamoja na mzazi mwenzako
Weka jina aje alikatae yeye akiwa na utimamu.
 
Wewe Grena wewe huoni kwamba bado baba alifanya kwa nafasi yake,ile kukubali tu kumpiga kitu chako mamaako mpaka ukatokea wewe?. Hata kama hajahusika kwenye malezi. Fanya kama alifariki wakati unazaliwa tu. Vipi umewahi kujiuliza bila hizo za babaako kuingia kwa mama usingetokea wewe?. Je ni vema usingetokea?. Au bora ulivyotokea pamoja na kwamba baba hayupo ktk maisha,lakini kumbuka baba kakufanya uwepo na sasa unatafuta mpaka visa ya nchi mbalimbali. Maisha yanaingia kwenye mstari. Baba amefanya uwepo
 
Wanasema kuzaa sio Kazi, Kazi kulea mwana. Kama kuzalisha hata panya anazalisha, Je Kama mzalishaji unatekeleza majukumu??? Kama nope uko sawa na panya
Swali moja dogo kwako, Je huyo mtoto unaetaka asipewe ubin wa baba kazaliwa ndani ya ndoa au nje ya ndoa?!
 
Kwann nao wasiamini kuwa kuna sababu zinawakaba wanaume wanaokimbia watoto!?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mkuu hakuna sababu kubwa yoyote inayoweza mfanya mzazi akimbie mtoto kama kweli anania ya dhati ya kuwa kwenye maisha ya mtoto wake.

Hata Kama hauna uwezo wa kuhudumia jaribu kuwa na ukaribu na mtoto wako emotional support pia ni Jambo jema sana.
 
Swali moja dogo kwako, Je huyo mtoto unaetaka asipewe ubin wa baba kazaliwa ndani ya ndoa au nje ya ndoa?!
Point yangu hapo inaongelea mababa wasiowajali Watoto wao mama awe na haki ya kuchagua Kama atumie jina la baba au lah, Rita wasimlazimishe lazima aweke jina la baba.

Haijalishi mtoto kapitakana vipi, kisheria wazazi wote inabidi wahusike katika malezi na ukuaji wake . Si kosa la mtoto hakuomba aje duniani.
 
Thamani haitapotea kwa wababa wanajua majukumu yao na kujali Watoto wao. Hii ni kwa baba wanaotekeleza Watoto, deadbeats.
mnajitahidi Sana kuwalisha sumu watoto tangu wakiwa wadogo waamini asilimia 100 baba ni mbaya . na yeye ndiyo sababu ya familia kuishi maisha ya kimaskini kila baya mnamtupia baba kisa umemtenga mbali na Damu yake.matokeo hata alikuwa anaendeleza usingel maza

hii imenitokea mara nyingi kwenye mahusiano yangu hapo awali nimeona athari za masingle maza tulifikia stage anakwambia mapico hata tukiachana haina shida hata mama yangu alikuwa single maza na ametulea mpaka tumekuwa kwa hiyo unaweza kuniacha kila mtu aendelee na maisha yake . nilikuwa naumia Sana kumuona ameshaathirika na malezi ya mzazi wa upande mmoja.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mambo katika cheti cha kuzaliwa watu wanabidi wayaelewe kuna jamaa alienda immigration akiwa na viambatanisho vyake vyote ikatokea moja ya majina yake 3 yani jina la katikati tulivyozoea sisi wengi ni jina la mwanae sasa lakwake lilikuwa jina la kike kama yalivyo majina kama Asha Rose Migiro kutokana na jamii anayotokea. jamaa alibidi wamzuie kuendelea na iyo process yakupata passport sababu ya hilo jina, na afisa aliyekuwa akimhudumia akamwambie aje na cheti cha kiapo . nikawa najiuliza hili jina kama lina tatizo kwanini idara husika ilitoa Chet chake chakuzalia kama hilo jina halitambuliki na idara zingine za serikalin ?

Grena
 
Mkuu si Mara zote Watoto wanalishwa sumu. Kuna umri mtoto anafikia anajua what's right and wrong. Anaona kabisa mama anahangaika mwenyewe kwa kila kitu, baba hajawahi kutuma hata hela ya socks za shule. Unadhani huyo atakuwa akiwa na mawazo gani kuhusu baba take???
 
Mkuu hakuna sababu kubwa yoyote inayoweza mfanya mzazi akimbie mtoto kama kweli anania ya dhati ya kuwa kwenye maisha ya mtoto wake.

Hata Kama hauna uwezo wa kuhudumia jaribu kuwa na ukaribu na mtoto wako emotional support pia ni Jambo jema sana.
Tatizo ni kuamini tunavyotaka kuamini mkuu. Naweza nikawa demoralizing factor.. tabia zangu, haiba yangu na yoote.. na hiyo pekee ikanifanya nikimbie... Au wewe mama ukawa much more suited to be a better parent than I will ever be..

What's needed in the well-being of the child.. au the best thing I did was only impregnating the mother past that am worthless prick... Ninaondoka kutunza that sweet memory for the child..

Mkuu najua ni utani mwingi.. ina nachojaribu kusema ni kuwa no matter how mediocre he reasons might sound or appear to be .. they are still reasons.. no body does nothing for no reason

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mambo katika cheti cha kuzaliwa watu wanabidi wayaelewe kuna jamaa alienda immigration akiwa na viambatanisho vyake vyote ikatokea moja ya majina yake 3 yani jina la katikati tulivyozoea sisi wengi ni jina la mwanae sasa lakwake lilikuwa jina la kike kama yalivyo majina kama Asha Rose Migiro kutokana na jamii anayotokea. jamaa alibidi wamzuie kuendelea na iyo process yakupata passport sababu ya hilo jina, na afisa aliyekuwa akimhudumia akamwambie aje na cheti cha kiapo . nikawa najiuliza hili jina kama lina tatizo kwanini idara husika ilitoa Chet chake chakuzalia kama hilo jina halitambuliki na idara zingine za serikalin ?

Grena
Jina halina shida kila mtu akienda kuomba passport Kama hana cheti Cha kuzaliwa Cha mzazi unahitajika upeleke kiapo. Nadhani yeye hakuna na cheti Cha kuzaliwa Cha mzazi
 
Tatizo lenu nyie wanawake mna huruma sana. Huyo mwanaume aliyemkataa mtoto leo akija kukuomba muonane samakisamaki posta baada ya miaka 2 mnaenda na mambo mengine yanaendelea kama kawaida.
Mimi Sina hyo huruma and I'm not that cheap, ka samaki samaki najipeleka mwenyewe
 
Back
Top Bottom