cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,067
- 46,709
[emoji23][emoji23][emoji23]Huishiwi vituko! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
[emoji23][emoji23][emoji23]Huishiwi vituko! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Huyo baba Kama haeleweki na kakimbia majukumu, ubaba ni zaidi ya kumpa mtu mimbani haki ya mtoto kuwa na baba izangatiwe
Ndio mchafu mtu anayekimbia majukumu yake kisa kuogopa responsibility na kama haitoshi anaenda kuzaa hovyo hovyo, wanaume wengi kwenye huu Uzi mumeguswa Ila nyie ni vinara wa kutelekeza watoto kwa kukwepa majukumuHihiiii mlicheza wote kwenye matope leo unasema mwenzio ndo mchafu....[emoji16][emoji16][emoji16]
Sasa Cariha mwanaume ndio huyo anazaa huku anazaa huko... Si bora akimbie mtoto asijifunze Tabia mbaya!? Au unasemaje Mkuu!?Ndio mchafu mtu anayekimbia majukumu yake kisa kuogopa responsibility na kama haitoshi anaenda kuzaa hovyo hovyo, wanaume wengi kwenye huu Uzi mumeguswa Ila nyie ni vinara wa kutelekeza watoto kwa kukwepa majukumu
Ni mda sasa wa serikali kuja na Sheria Kali ili kulinda watoto na kupata haki za malezi kutoka pande zote sio kumwachia mama pekee ukijua kuzaa na kutunza ujue vile vile na hivi sasa Kuna Nida hata ukimbie wapi udakwe tu, na ukiwa mfanyakazi ukatwe amount moja kwa moja na sio huu usumbufu wa ustawi wa jamii, kuwe na strictly law hyo itasaidia kupunguza hata watoto wa mtaani, ukizaa hovyo ujue mshahara unakatwa almost wote, na hata ukiwa kwenye biashara si Kuna Tin number, ili watoto waache kuteseka na iwe lazima mzazi atleast kukutana na mwanao.Sasa Cariha mwanaume ndio huyo anazaa huku anazaa huko... Si bora akimbie mtoto asijifunze Tabia mbaya!? Au unasemaje Mkuu!?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mkuu.. ninakuelewa sana.. ila sheria haiko personal.. niobjective. Sasa tunatunga ili imbane mwanaume au iwabane wazazi!?Ni mda sasa wa serikali kuja na Sheria Kali ili kulinda watoto na kupata haki za malezi kutoka pande zote sio kumwachia mama pekee ukijua kuzaa na kutunza ujue vile vile na hivi sasa Kuna Nida hata ukimbie wapi udakwe tu, na ukiwa mfanyakazi ukatwe amount moja kwa moja na sio huu usumbufu wa ustawi wa jamii, kuwe na strictly law hyo itasaidia kupunguza hata watoto wa mtaani, ukizaa hovyo ujue mshahara unakatwa almost wote, na hata ukiwa kwenye biashara si Kuna Tin number, ili watoto waache kuteseka na iwe lazima mzazi atleast kukutana na mwanao.
hata kama haudumii bado mtoto ana haki ya kumjua baba yake.Huyo baba Kama haeleweki na kakimbia majukumu, ubaba ni zaidi ya kumpa mtu mimba
[emoji23][emoji23] Kama uhudumii huna haki yoyote ya kuwa baba zaidi ya sperm donor. Kwani unadhani huyo mtoto anakula mawe na manyasi ndio aishi.hata kama haudumii bado mtoto ana haki ya kumjua baba yake.
tabia zetu za kishenzi kutufanywa tushindwane zisiwanyime watoto haki ya kuwajua baba/mama zao
kuna wakati tunakata huduma kwa maneno ya kebehi ya mama,tena anajitapa unadhani siwezi hudumia basi unamwacha anakomaa alau nyuma anasingizia baba hatoi huduma jirekebisheni[emoji23][emoji23] Kama uhudumii huna haki yoyote ya kuwa baba zaidi ya sperm donor. Kwani unadhani huyo mtoto anakula mawe na manyasi ndio aishi.
Ikija upande wa malezi wazazi wote inabidi tujishushe, Yani hata Kama Kuna bifu kiasi gani wote muwe wamoja kwaajiili ya mtoto.kuna wakati tunakata huduma kwa maneno ya kebehi ya mama,tena anajitapa unadhani siwezi hudumia basi unamwacha anakomaa alau nyuma anasingizia baba hatoi huduma jirekebisheni
mtoto ana haki ya kumjua baba yake,ujinga wetu usiwanyime watoto haki yao.
Sheria iwabane wote Ila kwa Tanzania wanaume ni wakwepa majukumu sana ya ulezi ndio hao wanafanya watoto wakose mbele Wala nyuma ni nadra mwanamke kutelekeza mtoto, na hata ikitokea watu waaneachana Sheria iwatake wazazi wote kuwa na haki ya kuonana na mtoto kwa mda flani sio ugomvi wenu wa kufumaniwa mkomoane kumuumiza mtoto kwa chuki zenuMkuu.. ninakuelewa sana.. ila sheria haiko personal.. niobjective. Sasa tunatunga ili imbane mwanaume au iwabane wazazi!?
Nivumilie tu Mkuu... Nataka nijue
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sasa you are my wife.. halafu nina mtoto nje... Utaniruhusu niende kumuona weekend mbili kwa mwezi!? 😀Sheria iwabane wote Ila kwa Tanzania wanaume ni wakwepa majukumu sana ya ulezi ndio hao wanafanya watoto wakose mbele Wala nyuma ni nadra mwanamke kutelekeza mtoto, na hata ikitokea watu waaneachana Sheria iwatake wazazi wote kuwa na haki ya kuonana na mtoto kwa mda flani sio ugomvi wenu wa kufumaniwa mkomoane kumuumiza mtoto kwa chuki zenu
Sheria Kali ziundwe tu maana Kuna wanawake wanategesha mimba wakiamini wata win mwanaume ili aolewe, wengine wanatoka na waume za watu Bado wanategesha mimba ili wahudumiwe au wakiamini wataolewa na wanaume wenye ndoa wakishaona mwanamke umezaa wanakimbia na kurudi kwa wake zao na kususa mtoto na kumbagua na hyo inaathiri Sana mtoto kisaikolojia why starehe zenu za kudaganyana mulete mtoto atakaye teseka?Nadhani kuwa na sheria ni vyema. Lakini sheria inakuja kuondoa Tatizo.. na sio kuwaondoa wenye matatizo.
Shida ya kuzaa hovyo ni swala Mtambuka. Asilimia 80 ya watu hubeba mimba bila consent ya wenza wao..
Ukiwa mtu mzima, mwanamke unayejitambua, ukapata ujauzito ni uamuzi.. unless umenismbia ulibakwa. Na hata ikitokea hivyo ziko protocols kwa mujibu wa sheria zitafuatwa.
Tunaowazungumzia wanagawanyika katika makundi mawili.. wanaokubaliana and won't follow thru.. na ambao hawakukubaliana kabisa kuzalishana.. ilitokea bahati mbaya au makusudi.. either way a woman was/is in a much better place to know and prevent.
Sasa kwa hawa waliokubali halafu wakaamua kutokomea hawa ndio wajadiliwe.. na hawa hakuna haja ya sheria mpya.. hapa hawa ni walaghai wa mapenzi.. washtakiwe.. na wafungwe.. haijalishi ni mwanaume au mwanamke.. maana utelekezaji unafanywa na wote.
cariha Grena
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Shida ya wabongo tukishaamini kitu we think ndivyo kilivyo kamwe hakiwezi badilika. Sad
Sio weekend mbili tu, Every weekend unatakiwa ukawaone kisheria. Ndio uwe na bond na Watoto wako, cheza nao mzoeane. Sio Watoto wako wanakuona Kama mpita njiaSasa you are my wife.. halafu nina mtoto nje... Utaniruhusu niende kumuona weekend mbili kwa mwezi!? 😀
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mimi umekimbia forget about ur kids na nitamwambia yote wallah simfichi kuwa daddy yako ni Malaya kakukana kabisa so akusahau tu kwa kweli. Mimi siwezi kumficha kwa kweli, ndio tumegombana Mimi na wewe ugomvi wetu una mhusu nini mtoto Hadi usimtunze hata kumsalimia?hata kama haudumii bado mtoto ana haki ya kumjua baba yake.
tabia zetu za kishenzi kutufanywa tushindwane zisiwanyime watoto haki ya kuwajua baba/mama zao
madame kuna wanawake hata ujishushe vipi wana akili mbovu kuliko hawa ni kuwaacha walee wenyewe tuIkija upande wa malezi wazazi wote inabidi tujishushe, Yani hata Kama Kuna bifu kiasi gani wote muwe wamoja kwaajiili ya mtoto.
Sasa mwanamke akizingua kidogo na wewe ukasusa kutoa huduma unayemkomoa ni mtoto, huyo ndo atateseka kukosa huduma muhimu.
Wapiganapo mafahari wawili ziumiazo nyasi.