Hairuhusiwi kama wapo msalani. We hujui kila kona siku hizi kuna kamera?Hivi kupiga piga picha watu bila idhini yao inaruhusiwa??
Hairuhusiwi kama wapo msalani. We hujui kila kona siku hizi kuna kamera?Hivi kupiga piga picha watu bila idhini yao inaruhusiwa??
sasa kuna ajabu gani mlalahoi akilala hoi?Kwa mtindo huo siku nzima si analala hoi?
Nahisi ht mie nimewahi kumuona anafurahisha' kuna mtu alitoa komenti yake kwenye daladala kuwa anaemcheleweshea mshahara huyu bwana anastahili adhabu! na wala haikuwa awamu hii ya sifa yule bwana anapenda kazi yake si mchezo.Mbona hamkuti hans aliyekua pale fire
mafanikio huja kwa kupenda unachofanya
Mwenzetu kaona raba 😱. Walahi kanifanya nirudie kuangalia picha mara mbili mbiliumeona wapi raba?
Hizo raba alizovaa ni uniform ya polisi?
sasa kuna ajabu gani mlalahoi akilala hoi?
Ana enjoy kazi yake mkuu! Kwake kazi Ni sehemu ya burudani.
Ni gum boots za rangi nyeupe ambazo trafiki huzivaa wakati wa mvua
Hivi NYOSO siku hizi yupo?
Safaia sanaipendekazi yakoifurahie kazi yako. Kazi hii ni ngumu ukiichukia utapata stresi kibao!
Ndio ni butiuna uhakika?
mtu anapata kick hapo mkuuHivi kupiga piga picha watu bila idhini yao inaruhusiwa??