Cheo kinamuhusu Traffic huyu

Mr Hero

JF-Expert Member
Jun 11, 2015
5,540
7,452
traffic.jpg traffic 1.jpg traffic 2.jpg traffic 5.jpg traffic.jpg
traffic.jpg
traffic 1.jpg
traffic 2.jpg
traffic 5.jpg
traffic.jpg
 
utendaji kazi wetu Tanzania ni wa ajabu sana na huu msingi uko tokea mashuleni

yule mtu ambaye alikuwa yeye anajibu maswali sana tulikuwa tunamuita msongo mara tunamuita kiherehere tabia hii hii tumekuja nayo makazini mtu akifanya kazi yake kwa umakini, umaridadi akiwa anaifanya kwa kuipenda kazi yake sie tunamuita anataka sifa mara oooh anataka cheo... ndio maana vita ya kuwapiku wakenya kwa kuongoza kiuchumi East Africa ni kubwa sana ... kwa aina ya askari (wafanyakazi/watanzania) tuliokuwa nao
 
Huyo askari matendo yake yanafanana na mmoja nilimkuta pale mataa ya Stanbic Ali Hassan Mwinyi road, aisee tulienjoy abiria wote, mara ainame, mara aoneshe ishara ya muda kwamba madereva wafanye fasta, mara atembee kisharobaro yaani tabu tupu.
 
Kitambo saaana alikuwepo mmoja mwenye kitambi sijui aliishia wapi. Alikuwa na vituko sana. Ila kijana anastahili haki yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom