Cheo kinamuhusu Traffic huyu

Cheo kinamuhusu Traffic huyu

Sio cheo mtu ukishatambua kazi yako na kuipenda lazima uifanye kiufasaha uvivu mbaya na ndio unaorudisha nyuma maendeleo acha awahishe watu ktk shughuli mbaimbali mtawavunja watu mioyo wakifanya kazi kwa ufasaha mkizani wanawinda vyeo.
 
utendaji kazi wetu Tanzania ni wa ajabu sana na huu msingi uko tokea mashuleni

yule mtu ambaye alikuwa yeye anajibu maswali sana tulikuwa tunamuita msongo mara tunamuita kiherehere tabia hii hii tumekuja nayo makazini mtu akifanya kazi yake kwa umakini, umaridadi akiwa anaifanya kwa kuipenda kazi yake sie tunamuita anataka sifa mara oooh anataka cheo... ndio maana vita ya kuwapiku wakenya kwa kuongoza kiuchumi East Africa ni kubwa sana ... kwa aina ya askari (wafanyakazi/watanzania) tuliokuwa nao

Nakubaliana na wewe.
 
Huyu naona kapandishwa tayari
6ecf608a80233f67d2c76ecbebe70ac2.jpg
 
utendaji kazi wetu Tanzania ni wa ajabu sana na huu msingi uko tokea mashuleni

yule mtu ambaye alikuwa yeye anajibu maswali sana tulikuwa tunamuita msongo mara tunamuita kiherehere tabia hii hii tumekuja nayo makazini mtu akifanya kazi yake kwa umakini, umaridadi akiwa anaifanya kwa kuipenda kazi yake sie tunamuita anataka sifa mara oooh anataka cheo... ndio maana vita ya kuwapiku wakenya kwa kuongoza kiuchumi East Africa ni kubwa sana ... kwa aina ya askari (wafanyakazi/watanzania) tuliokuwa nao

Umeandika nilichotaka kuandika mkuu
Hongera kwa mtazamo chanya
 
Back
Top Bottom