Cheo kinamuhusu Traffic huyu

Cheo kinamuhusu Traffic huyu

Huwa nawaambia vijana wangu kazini kuwa, kazi yako ukiipenda na kuifanya kwa moyo wa kuridhika utaiona nyepesi na rahisi.
 
Kuna haja gani ya kupost picha zaid ya mbili wakat ni picha mbili tu
 
Hivi ndivyo inavyokuwa unapofanya kazi ambayo ni chaguo lako.......Unaenjoy tu haijarishi iwe mvua iwe jua.
Hahahahahahaha mkuu umeua kwamba anaaenjoy kwa sababu kaichagua mwenyewe
 
Leo azam tv wamemhoji na kuonyesha manjonjo yake anasema anaipenda kazi yake ndio maana anafanya kwa uweledi.
 
Back
Top Bottom