Cheni.....
Samahani dada naomba kukuuliza swali....Hivi mwanaume akiivaa hiyo cheni atavutia wanawake?Kiuno chako size ngapi nikuuzie zangu.
mhhhhhh!!!!
Mh! Jamani sasa mbona sielewi ?
Wewe Vivy umeomba kujua hiyo cheni sasa hawa wanaleta hizo discusioooo za nini Inahhhhhhuuuuuuu!!! HEBU WEKENI MAMBO
YA CHENI HAPA TUJINUNULIE MANAKE LIFE IS SWEET ESPECIALLY DURING THAT GAME HEEEEEE!!!!?HOW DO YOU THINK ABT YOUR GAME
A PUNISHMENT LIKE????LOL WEKENI NAMBA YA SONARA KAMA NI GOLD AU SILVER TUKNOW.
Morning Keren....how are you today?
Morning Keren....how are you today?
niko vizuri, only that siielewi hii sredi ivi wanazungumzia nini?:wink1:
Rafiki hata mimi hapa sijaambulia kitu kabisa....mhhhh!!!
Basi twende kwenye siasa.......lol
Leka tiki..........Ngashoka!Msasha Nkiki?
Mh! Jamani sasa mbona sielewi ?
Wewe Vivy umeomba kujua hiyo cheni sasa hawa wanaleta hizo discusioooo za nini Inahhhhhhuuuuuuu!!! HEBU WEKENI MAMBO
YA CHENI HAPA TUJINUNULIE MANAKE LIFE IS SWEET ESPECIALLY DURING THAT GAME HEEEEEE!!!!?HOW DO YOU THINK ABT YOUR GAME
A PUNISHMENT LIKE????LOL WEKENI NAMBA YA SONARA KAMA NI GOLD AU SILVER TUKNOW.
jamani my big sister!! kweli?