Cheni ya kunogesha Penzi

Cheni ya kunogesha Penzi

ukiipata hiyo cheni itabidi kuipima ubora kaba ya mechi
 
Ukishapata shosti unishtue nikupe maujuzi.......
 
Samahani dada naomba kukuuliza swali....Hivi mwanaume akiivaa hiyo cheni atavutia wanawake?<br />
Swali tu,usifikirie sana!
<br />
<br />
hahahaha! Nimeshindwa kujibu maana umeniambia nisifikirie sana.
 
Mie nilijua labda cheni ya kisharobaro ya shingoni kumbe ya kiunoni mmmmhhhh mie siwawezi!!!!!!
 
Back
Top Bottom