Vashaka va kasha labda.... va sku hisi vekatika sha vasukwa...mbutaa!Ngininga ekisipiriensi msasha, ni loli vashaka vesoma magaseti?
Utaseke sana ...... utashelemwa nywa kawari. Linu wikiendi yaansa umemanya?Basi msaha, linu wangshekesha sana.
Jamani natafuta hii cheni,
Ni duka gani hapa Sinza naweza pata hii Cheni jamani.
Natanguliza shukrani na ninawatakia weekend njema madadiito na mamito!!!
O nkiki undenwa umonyi, msasha afo ngikte notcha na besa imeteka....Double View n'ku ilii?ini se ngitekwe? Lasma nginenywa fi reds halya Double view. Fiina tiki vingfure
Umesahau King Star pana Jenereta? Skul meti siku hizi umekuwa mwana mpotevu. Hawa kina Eva unaniachia peke yangu?Kweli hii ni "long weekend"!
Wasiwasi wangu ni "mgao wa giza" na "unogeshaji wa penzi" - hivi viwili haviendani bila shaka - hata uwe na cheni ya chain!
Umesahau King Star pana Jenereta? Skul meti siku hizi umekuwa mwana mpotevu. Hawa kina Eva unaniachia peke yangu?
Ha ha ha haaa!! sasa hupendi kitu hujawahi kukutana nacho? mimi naipenda sna mwaya. Jaribu kuvaa siku moja
I Really wish Idd was on monday.
vivian - inaelekea wewe ni M-Sinza wa ukweli!!!
hebu nimpigie simu "mtizama mwezi" kutoka Zanzibar afanya mambo!!!
baba enock, we have two types of muslims
1. Scientific muslims- after 30 days of fasting they celebrate the idd whether the moon is there or not (answar sunar)
2. Traditional muslims- they have to wait for the moon.