Nini maana ya nyongeza 23.3% kwa kima cha chini?

Mjukuu wa Magika

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
636
Reaction score
1,203
Wafanyakazi wengi Serikalini hawakuelewa juu ya ongezeko la mshahara kwa asilimia 23.3 kwa kima cha chini. Pia ongezeko hilo litalenga kupunguza utofauti wa mwenye mshahara mkubwa na mdogo.

Kima cha chini ni nini. Kila mfanyakazi ana kima cha chini cha mshahara ambacho ni moja ya tatu ya mshahara wake. Mfano kwa mwalimu mwenye TGTS B basic salary ni TSH 419,000 na kiwango chake cha chini cha mshahara ni ⅓×419,000=139,667 sasa ili upate nyongeza ya mshara wake wa chini kwa asilimia 23.3 ni 0.233×139,667=32,542.

Kumbuka nyongeza hiyo inakatwa kodi, bima, cwt, psssf. Kwa hiyo kwenye take home itapungua pia 😀. Karibu kwa mchango wapo pia
 
Wafanyakazi wengi serikalini hawakuelewa juu ya ongezeko la mshahara kwa asilimia 23.3 kwa kima cha chini. Pia ongezeko hilo litalenga kupunguza utofauti wa mwenye mshahara mkubwa na mdogo.
Kima cha chini ni nini. Kila mfanyakazi ana kima cha chini cha mshahara ambacho ni moja ya tatu ya mshahara wake. Mfano kwa mwalimu mwenye TGTS B basic salary ni TSH 419,000 na kiwango chake cha chini cha mshahara ni ⅓×419,000=139,667 sasa ili upate nyongeza ya mshara wake wa chini kwa asilimia 23.3 ni 0.233×139,667. Kumbuka nyongeza hiyo inakatwa kodi, bima, cwt, psssf. Kwa hiyo kwenye take home itapungua pia 😀. Karibu kwa mchango wapo pia
Naona umeandika **** cha chini kwa hizo hesabu zako maana hazileti ongezeko lililo ongezwa.
 
Wafanyakazi wengi Serikalini hawakuelewa juu ya ongezeko la mshahara kwa asilimia 23.3 kwa kima cha chini. Pia ongezeko hilo litalenga kupunguza utofauti wa mwenye mshahara mkubwa na mdogo.

Kima cha chini ni nini. Kila mfanyakazi ana kima cha chini cha mshahara ambacho ni moja ya tatu ya mshahara wake. Mfano kwa mwalimu mwenye TGTS B basic salary ni TSH 419,000 na kiwango chake cha chini cha mshahara ni ⅓×419,000=139,667 sasa ili upate nyongeza ya mshara wake wa chini kwa asilimia 23.3 ni 0.233×139,667=32,542.

Kumbuka nyongeza hiyo inakatwa kodi, bima, cwt, psssf. Kwa hiyo kwenye take home itapungua pia 😀. Karibu kwa mchango wapo pia
acha uongo
 
Back
Top Bottom